Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa mwendesha bodaboda kwa miaka 10 kabla ya kuja Yanga.First born wake kamaliza form four
Kwa mujibu wa Wikipedia eti jamaa ana miaka 31Aucho anasema ana miaka mingapi😁
aucho kidevu kimekomaa kama msaaaKwa mujibu wa Wikipedia eti jamaa ana miaka 31
Aucho 31
View attachment 3115172
Eti huyu hapa chini ni mkubwa kuliko huyo wa hapo juu.
View attachment 3115176
Daaah hii nchi hii we acha tu
Acheni habari za kutunga haziwasaidii hizi. Mbona inajulikana wazi Chama ana 33, Aucho 32, Diarra kwa sasa atakua anafikisha 31. Hizi ziko wazi kila page na website za wachezajiSamatta atakuwa nac36-39
Msuvq 32-36
Mutale 26-30
Mpanzu 27-31
Aucho 32-37
Chama 32-36
Diara 29-34
Camara 25-31
N.k huo ndo umri wao lakini ukifatilia passport zao hapo hakuna mwenye 30 ! Kichekesho
Lucas Moura alikuwa na uwaraza akiwa na miaka 21 moja tu,Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake.
Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32 YEARS[emoji3064]
Yaleyale ya Amis Tambwe eti alikuwa na 23, Josh Onyango 22., wamekomaa kuliko Kikwete mwenye 74
Mudathir Yahya naye kutudanganya kuzaliwa 1996 wakati 2011 yuko Azam ya wakubwa,urongo
Ibrahim Ajibu alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 38
Mutale na Aucho mimi sina la kusema,aliyegundua supwr black amewasaidia sana,huwezi kuota uwaraza kama ule ukiwa na miaka 22
Muda sahihi wa kununua kipimo cha umri nchini,isije ikawa tunafukuza wazee na kusajili wazee
Bongo sihami
Mutale alikuwa kwenye timu za vijana Zambia, yawezekana nywele ziliisha kwa sababu ya kufanya dopping huko kwenye ligi yao.Uko sahihi,Mutale hakosi mvi yule anapaka super black
Chama ana 33 na haijafichwaSamatta atakuwa nac36-39
Msuvq 32-36
Mutale 26-30
Mpanzu 27-31
Aucho 32-37
Chama 32-36
Diara 29-34
Camara 25-31
N.k huo ndo umri wao lakini ukifatilia passport zao hapo hakuna mwenye 30 ! Kichekesho
Hapo kwenye kipara nakataa mi kilianza kutoka nikiwa na miaka 21 by 23 kilikuwa kishaenea nusu ya kichwaHuku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake.
Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32 YEARS🥺
Yaleyale ya Amis Tambwe eti alikuwa na 23, Josh Onyango 22., wamekomaa kuliko Kikwete mwenye 74
Mudathir Yahya naye kutudanganya kuzaliwa 1996 wakati 2011 yuko Azam ya wakubwa,urongo
Ibrahim Ajibu alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 38
Mutale na Aucho mimi sina la kusema,aliyegundua supwr black amewasaidia sana,huwezi kuota uwaraza kama ule ukiwa na miaka 22
Muda sahihi wa kununua kipimo cha umri nchini,isije ikawa tunafukuza wazee na kusajili wazee
Bongo sihami
Watoto wa 2000 wale dah haya banaNikikumbuka tulivyokuwa tunasema Mzize ana miaka 27 na mwonekano wake ule, sitaki kabisa mtu aniulize Mutale na Mpanzu wana umri gani 😀😀! Kwanza aniulize ili iweje wakati tushawaambia wale ni wa 2000s?!
Pole sana,mi ukoo wetu waba vipara sana ila mimi sina ,nina mvi nyingi,akiyegundua suoer black mbinguni .nikioaka superblack yangu naonekana kijana wa 27Hapo kwenye kipara nakataa mi kilianza kutoka nikiwa na miaka 21 by 23 kilikuwa kishaenea nusu ya kichwa
Nataka nikafanye hair transplant ziote tena ila bei imenikwamisha ni million 4 na point kadhaaPole sana,mi ukoo wetu waba vipara sana ila mimi sina ,nina mvi nyingi,akiyegundua suoer black mbinguni .nikioaka superblack yangu naonekana kijana wa 27