Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

Okwi tangu anacheza Simba 2014 alikua miak 24 yak imeganda pale pale 29😅😅 saiv so wao miak kumi ni sawa na mitano😅😅
 
Samatta atakuwa nac36-39
Msuvq 32-36
Mutale 26-30
Mpanzu 27-31
Aucho 32-37
Chama 32-36
Diara 29-34
Camara 25-31
N.k huo ndo umri wao lakini ukifatilia passport zao hapo hakuna mwenye 30 ! Kichekesho
Acheni habari za kutunga haziwasaidii hizi. Mbona inajulikana wazi Chama ana 33, Aucho 32, Diarra kwa sasa atakua anafikisha 31. Hizi ziko wazi kila page na website za wachezaji

Lucas Moura alikuwa na uwaraza akiwa na miaka 21 moja tu,
 
Uko sahihi,Mutale hakosi mvi yule anapaka super black
Mutale alikuwa kwenye timu za vijana Zambia, yawezekana nywele ziliisha kwa sababu ya kufanya dopping huko kwenye ligi yao.
 
Samatta atakuwa nac36-39
Msuvq 32-36
Mutale 26-30
Mpanzu 27-31
Aucho 32-37
Chama 32-36
Diara 29-34
Camara 25-31
N.k huo ndo umri wao lakini ukifatilia passport zao hapo hakuna mwenye 30 ! Kichekesho
Chama ana 33 na haijafichwa
 
Hapo kwenye kipara nakataa mi kilianza kutoka nikiwa na miaka 21 by 23 kilikuwa kishaenea nusu ya kichwa
 
Nikikumbuka tulivyokuwa tunasema Mzize ana miaka 27 na mwonekano wake ule, sitaki kabisa mtu aniulize Mutale na Mpanzu wana umri gani 😀😀! Kwanza aniulize ili iweje wakati tushawaambia wale ni wa 2000s?!
 
Watoto wa 2000 wale dah haya bana
 
Hapo kwenye kipara nakataa mi kilianza kutoka nikiwa na miaka 21 by 23 kilikuwa kishaenea nusu ya kichwa
Pole sana,mi ukoo wetu waba vipara sana ila mimi sina ,nina mvi nyingi,akiyegundua suoer black mbinguni .nikioaka superblack yangu naonekana kijana wa 27
 
Pole sana,mi ukoo wetu waba vipara sana ila mimi sina ,nina mvi nyingi,akiyegundua suoer black mbinguni .nikioaka superblack yangu naonekana kijana wa 27
Nataka nikafanye hair transplant ziote tena ila bei imenikwamisha ni million 4 na point kadhaa
 
Kufoji umri unacost sana mpira wetu, huwa nawashangaa sana wanaotetea hii tabia. Athari zake ni kubwa kuliko tunavyodhani.

Mutale anadhani kwa kutembea kwa kudundadunda tutamuona kinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…