Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ila hapo ktk rap angeweka hiphop ..hahahahahaha...maana wengi tunaishi ki hip hop ,misimamo kiasi..utulivu na umakini ..kuto kudharau mtuMle ndani wame toa madini mazuri, mtu aki tuliza kichwa Kuna mengi ya kuji funza.
Mfano, rap Kama dhehebu, mc Kama wafuasi- wingi wa waumini Ina onesha ni dini Safi.
Nina pata Shaka je wote tune sadiki au wengine ni mamluki.
Hoja zangu,
Tuchukulie rap Kama maisha, Kuna wengine Wana ishi katika misingi Safi na iliyo nyooka.
Wengine ni Kama wasindikizaji, Kutokana na kushindwa kuzingatia mambo ya muhimu.
Kutokana na Baadhibya vitu vina watoa mchezoni,
Tresor Mandala
Mengine yote yuko sawa