Huenda hii ndio sababu ya Afande Sele, kugombana na wasanii wenzake

Huenda hii ndio sababu ya Afande Sele, kugombana na wasanii wenzake

Yap, na hata nitoke vipi ya bwana misosi Ina leta utata pia
Main target alikuwa bwana misosi wala sio GK maana misosi alijichanganya kwenye ule wimbo akamdiss mtu mmoja tu tena yule ambae alimshika mkono Afande kwenye gem had akatoka sikiliza tena ngoma ya nitoke vipi utasikia kuna mtu mmoja amedisiwa mle.
So Sele alikuwa anampigania brother ake in short na sio kwamba alimlenga GK.
 
Umeandika vizuri sana mkubwa,sisi wengine wakati wa mfalme wa rhymes tulikuwa wadogo sana atleast leo nimepata picha kiasi.SHUKRANI SANA
 
Back
Top Bottom