Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ila hapo ktk rap angeweka hiphop ..hahahahahaha...maana wengi tunaishi ki hip hop ,misimamo kiasi..utulivu na umakini ..kuto kudharau mtuMle ndani wame toa madini mazuri, mtu aki tuliza kichwa Kuna mengi ya kuji funza.
Mfano, rap Kama dhehebu, mc Kama wafuasi- wingi wa waumini Ina onesha ni dini Safi.
Nina pata Shaka je wote tune sadiki au wengine ni mamluki.
Hoja zangu,
Tuchukulie rap Kama maisha, Kuna wengine Wana ishi katika misingi Safi na iliyo nyooka.
Wengine ni Kama wasindikizaji, Kutokana na kushindwa kuzingatia mambo ya muhimu.
Kutokana na Baadhibya vitu vina watoa mchezoni,
Tresor Mandala
Kumbe anavuta bangi huyu jamaa?Jamaa bangi nyingi na kujiona ana akili sana
Yap, Nikiwa katika tafakuri nzito huwa napenda wimbo huu.Ila hapo ktk rap angeweka hiphop ..hahahahahaha...maana wengi tunaishi ki hip hop ,misimamo kiasi..utulivu na umakini ..kuto kudharau mtu
Mengine yote yuko sawa
Asante kwa taarifa nzuri mkuuAfande sele na soggy dog siku hiz wanaelewana.na mara nyingi soggy anaendage peponi camp kwa afande sele
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Hivi kwa kumuangalia tu si unajua kabisa yule ni mvuta bangiKumbe anavuta bangi huyu jamaa?
Wewe ungempa nani tuzo hiyo?Ushindi wa Selemani Msindi sijui aliupataje? Maana kipindi kile Prof Jay bado alikua wa moto na alishashinda tuzo nyingi kabla,
Solo Thang , Inspector na Jay Mo pia walistahili
Yap, na hata nitoke vipi ya bwana misosi Ina leta utata piaHii ya kutaja majina kwa mistari isiyo na vina nadhani moja kwa moja ilikua kwa Crazy GK nyimbo yake ya Daima tupo pamoja ft Pauline Zongo.
Ko ni mzee wa mijaniKwenye andiko lako mbona hujaitaja bangi popote pale. Umemkosea heshima msanii wetu.