GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni.
Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja ungeshajaza mashabiki wake zaidi ya 35,000. Kwani ndiyo timu yenye mashabiki wasomi, matajiri na wenye akili timamu tofauti hii ya leo itakayojaza mashabiki 350 tu.
Kazi ipo!