GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kauli ya semaji la utopolo ilituhakikishia kwamba mpaka saa tatu asubui uwanja utakuwa umeshajaa ndio mana jenta anashangaa whyKwahiyo sasa hivi mmebadili upepo,si Al hilal ashinde ila ni Yanga ajaze uwanja!,Yanga akishinda muendelee kukomaa na ajenda yenu ya kutojaza uwanja!.
Aden Rage popote ulipo heshima yako mzee wangu![emoji23][emoji23][emoji23]
Aden Rage aliona mbaliKwahiyo sasa hivi mmebadili upepo,si Al hilal ashinde ila ni Yanga ajaze uwanja!,Yanga akishinda muendelee kukomaa na ajenda yenu ya kutojaza uwanja!.
Aden Rage popote ulipo heshima yako mzee wangu![emoji23][emoji23][emoji23]
Na hapo kiingilio ni kidogo kuliko mechi ya Simba na Dodoma jijiMpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni.
Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja ungeshajaza mashabiki wake zaidi ya 35,000. Kwani ndiyo timu yenye mashabiki wasomi, matajiri na wenye akili timamu tofauti hii ya leo itakayojaza mashabiki 350 tu.
Kazi ipo!
Vp MatokeoKwahiyo sasa hivi mmebadili upepo,si Al hilal ashinde ila ni Yanga ajaze uwanja!,Yanga akishinda muendelee kukomaa na ajenda yenu ya kutojaza uwanja!.
Aden Rage popote ulipo heshima yako mzee wangu![emoji23][emoji23][emoji23]
Vp Huko Ngapi Ngapi?Aden Rage aliona mbali
Moja mojaVp Huko Ngapi Ngapi?
Sawa Sawa MkuuMoja moja