Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Amen baba paroko umemweleza vema..
Kama namuona handle nae mguu ndani mguu nje
 
Mikataba ya siku hizi imekuwa na mbwembwe kibao, ukikaa sehemu watu wanakupa tu mshahara hawana mbwembwe nyingine na siku upate kuna mtu anakupa mke, kiwanja+ gari lazima usaliti kundi na kwenda sehemu nono.

Wasafi inaweza kuleta ushindani wa masilahi kwenye media.
Aisee sawa sio mbaya watu wanachungulia maslahi
 
Nina imani kama ni kweli basi e fm watakimbiwa sana na clouds
Acha Wasafi itulie utaona wimbi kubwa la watu maarufu wakimwaga wino, E Fm itarudi nyuma kwa kasi ya 3G /kama hatua za mlevi 10 mbele 20 nyuma.
 
Nina imani kama ni kweli basi e fm watakimbiwa sana na clouds
Watangazaji wakikaa kwa muda mrefu kwenye kipindi huweka mihuri isiyofutika kwa wasikilizaji wake. Leo wakianza kupotea kila mmoja huku na kule lazima hata wasikilizaji wayumbe kidogo.

Ni kama timu ya mpira ikiwa na muunganiko wa kuelewana siku ukiuza unaanza upya.

E Fm inaenda kwenye hatua za kujenga timu kama Man United.
 
Mtangazaji akianza kuhamahama umaarufu huisha bila yeye kujua!
Mtangazaji wangu wa muda wote,
Oumilkheir Hamidou - Radio DW tangu 1979 to date!
 
Hahaa hivi man mbona mmeichukia hivyo kika mtu anailaumu[emoji1][emoji1]
 
Miongoni mwa ninao wapenda mwanzoni nilikuwa najua eti ni mwanaume kumbe ni ke bhana
Mtangazaji akianza kuhamahama umaarufu huisha bila yeye kujua!
Mtangazaji wangu wa muda wote,
Oumilkheir Hamidou - Radio DW tangu 1979 to date!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…