GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
" Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio cha kupewa mchezaji wa bure kama zesco wana huruma hiyo wange tupa jesse were haya ndiyo madhara ya 10% bado huu upumbavu upo ila ukiongea ukweli mwenyekiti ana kuita mchwa " amesema Mchambuzi wa mahiri wa Mpira nchini Tanzania, Mwalimu na Mchezaji Mwandamizi na aliyewahi pia kuwa Nahodha wa Klabu ya Yanga Ally Mayai Tembele.
GENTAMYCINE siongezi neno.
Kazi Kwenu na Kumekucha!
GENTAMYCINE siongezi neno.
Kazi Kwenu na Kumekucha!