Huenda huyu ndiye akawa mwana Yanga SC mwenye ' Akili ' kubwa kuliko wengineo na ambaye pia ninamheshimu na kumkubali

Huenda huyu ndiye akawa mwana Yanga SC mwenye ' Akili ' kubwa kuliko wengineo na ambaye pia ninamheshimu na kumkubali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
" Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio cha kupewa mchezaji wa bure kama zesco wana huruma hiyo wange tupa jesse were haya ndiyo madhara ya 10% bado huu upumbavu upo ila ukiongea ukweli mwenyekiti ana kuita mchwa " amesema Mchambuzi wa mahiri wa Mpira nchini Tanzania, Mwalimu na Mchezaji Mwandamizi na aliyewahi pia kuwa Nahodha wa Klabu ya Yanga Ally Mayai Tembele.

GENTAMYCINE siongezi neno.

Kazi Kwenu na Kumekucha!
 
I never knew you are sometimes a silly thinker!
 
Ngoja tusubiri viongozi wa Yanga watamjibu vpi Ally Mayai...manake huo ni ukweli Mtupu.
 
Ujinga wa mtu unaweza huwa haujifichi

Wa nani Mimi Mleta Uzi ( Mada ) au Mjumbe wa Kamati ya Ufundi wa Yanga Ndugu Aly Mayai Tembele ambaye Mimi nilichofanya ni ' Kumnukuu ' tu kile alichosema? Nasubiri mno jibu lako juu ya hili ili kama ukiwa umenilenga Mimi basi nami niweze kukupa jibu lako ' Mujarab ' na la Kukutosha haraka sana kabla hujaenda Kitandani Kulala.
 
Wewe ndiyo Rage alikulenga kabisa maana ni mjuaji mbumbumbu
 
Yanga SC nzima mwenye Akili Kubwa ni Ally Mayai Tembele peke yake na mliobaki wote ni ' Mapopoma Waandamizi ' kabisa.
Mwenyekiti alisema
20191006_142742.jpeg
 
Back
Top Bottom