Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Sio miaka 100 tu ,haitakuja kutokea kupata raisi Kama Magufuli Africa
Ajengewe sanamu kila mkoa
Kajenge hilo sanamu nyumbani kwako na kijijini kwenu muendelee mimuabudu usiku na mchana na wa kwenu. Mikoani likiwekwa haswa huku kwetu tutalichoma moto mpaka liwe majivu. Huku tujengewe mengi kila mtaa na viniji ya Mwalimu Nyerere na moja tu la Kikwete. Ya huyo dictator mkajenge Chato na Rwanda kwao.
 
Laana impate kikwete na familia yake kwa kutuondoshea bahati tuliyo kuwa tumeipata watz na waafrica maana magufuli alikuwa master key ya bara la africa wazungu na waasia alianza kupata hofu ya ufisadi wanao utekeleza africa kwa kupitia vibaraka wao serikalini
 
kama ni hivi itakuwa bora sana tena iwe zaidi ya miaka 2000 kusitokee kabisaa wa aina ya mhutu kama huyu
 
Mkuu acha kusifia hio kitu kabisa

Tulilishwa matango haswaa

Yaani tuliwahi hata kuaminishwa kua papai lina korona na watu tukaanza kuogopa kula mapapai

Mara mbuzi, mara oil chafu.

Miyeyusho mitupu!
ni akili yako tu ya kuogopa mapapai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…