Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo.
Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah bado wapo ngangari.
Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah bado wapo ngangari.