Huenda Israel imemuua naibu wa Nasrallah aliyehutubia jana

Huenda Israel imemuua naibu wa Nasrallah aliyehutubia jana

Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo.

Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah bado wapo ngangari.
hizo stori hazitushtui siku hizi...stori ya huzuni kwetu ni kwamba hezbollah wanyoosha mikono juu
 
Back
Top Bottom