Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Una undugu na GENTAMYCINE ??Hivi Israel Mtoa Roho ni muislam?
Maana huwa anaua waislam tu!
muham mad aka allah katangazia Wafuasi wake wawachukie Yahudi afu atawapa pepo!Hivi Israel Mtoa Roho ni muislam?
Maana huwa anaua waislam tu!
Haisaidii Sasa HIVI hata ukijamba wanajua huu ushuzi ni wa Adui tunaye mtafuta!Waache kukaa karibu na vifaa vya kielektroniki,technolojia sasa hivi imefika mbali sana watakwisha...
Duru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo.
Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah bado wapo ngangari.
Kukosa kwako maarifa umekataliwa na huyo mungu wako pia na si wewe pia na watoto wako.muham mad aka allah katangazia Wafuasi wake wawachukie Yahudi afu atawapa pepo!
Hivyo Yahudi Anajihami.
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ
[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Kukosa kwako maarifa umekataliwa na huyo mungu wako pia na si wewe pia na watoto wako.
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Can I be a relative to an aunthetic Moron on earth?Una undugu na GENTAMYCINE ??
Sijaelewa mkuu ( lugha ngumu)Can I be a relative to an aunthetic Moron on earth?
Waakiristo wa jf wamepewa kazi maalum ya kusambaza propaganda JfDuru ndani ya corridor za kijasusi ndani ya Israel na Lebanon zinatabanaisha kuwa huenda msaidizi wa gaidi aliyeuawa kwa haki na Israel aliyefahamika kwa jina la Nasrallah naye kauliwa usiku wa kuamkia leo.
Ikumbukwe, mapema jana alitoa hutuba ya kujikakamua eti wao kama magaidi wa Hezbollah bado wapo ngangari.