Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

Zamalek vs Berkane hapa bonge moja la pitch..

Tuwekeze aisee kwenye stadiums kama kweli tupo serious na futiboli
 
tunaongea daily Kalia na bodi ya ligi wamejaa vilaza. wajinga wajinga watoke wote pale. utanze upya
 
Na fainali inachezewa babati majarubani
Huu uwanja ilifanyika hapo may mosi ukaharibika sana yakafanyika marekebisho ya zimamoto Leo mpira ulikuwa unadunda hatari
 

Attachments

  • Screenshot_20240519-214637.jpg
    334.3 KB · Views: 3
Mentality za kitoto sana hizi,
Kwahyo tusipikie mkaa kisa tukipata mshahara tunataka kununua jiko la gesi..? Hivi mna akili timamu kweli kutaka kusubiri mambo ya future ambazo hamna uhakika kama mtakuwepo au yatafanyika kama mnavyowaza.??
 
Mentality za kitoto sana hizi,
Kwahyo tusipikie mkaa kisa tukipata mshahara tunataka kununua jiko la gesi..? Hivi mna akili timamu kweli kutaka kusubiri mambo ya future ambazo hamna uhakika kama mtakuwepo au yatafanyika kama mnavyowaza.??
We huna akili kabisa, majinuni mkubwa yani sababu hujui kama utakuwepo basi Kila kitu kifanyike Leo
Punguani wahead kabisa LI uwanja may mosi imeharibu pitch Leo unapeleka hapo mchezo muhimu kisa hujui kama 2027 utakuwepo bila shaka utakuwa umebeba tumbo kubwa limenyonya ubongo na matako malaini yanayotikisika hovyo
 
Si umeona ulivyo immature, kama fala hivi. Kwenye kuvunjia heshima watu wengine mara nyingi unajivunjia heshima na wewe mwenyewe.
 
Si umeona ulivyo immature, kama fala hivi. Kwenye kuvunjia heshima watu wengine mara nyingi unajivunjia heshima na wewe mwenyewe.
Unatekenyeka na mavhi punguani kabisa
Tunaongelea pitch ambalo ni tatizo kubwa kwenye mpira wa nchi
Sheria namba Moja kwenye sheria 17 za mpira unaleta likitambi lako kuongea upuuzi wako hukuwa na Cha kuchangia ungepiga kimya
 
Kwa nini selikari isichukue hiv viwanja kama CCM wameshindwa kuviboesha
Yaani inakera sana.
Ccm ina viwanja nchi nzima basi ipange mkakati wa kuviboresha hv viwanja angalau wafanye kwa awamu hata kila baada ya miaka miwili pesa wanazopata kama chama waboreshe kiwanja kimoja
Na kama wakishindwa wavibinafsishe kwa selikari
 
Inafikirisha sana kifupi ccm ni serikali kwa hiyo hawawezi kuchukua Mali zao labda akija kiongozi mwingine anaweza kuhoji endapo wakati vinajengwa vilijengwa kwa hela ya chama au mapato ya nchi
Ila kwa Sasa hata wangeboresha pitch TU ingetosha kwingine wafanye taratibu
Unajua tutaangalia final nyingine isiyo na mvuto kama Ile ya Tanga msimu uliopita hadi msonda anafunga mpira ulikuwa papatu papatu
 
Yanga amepambana sana lakini uwanja ni kituko, kuna back pass moja Mpira ulikuwa unaenda kwa diara ukadunda kwenda juu baada ya kugonga kitu kama kichuguu au Jiwe !
Ina maana tff hawaenda field kukagua viwanja wanakaa maofisini tu ?
 
ni mambo ya ajabu kabisa,uwanja una mabonde sijapata kuona
 
Huo ni uwanja wa hovyo ,pamoja na ule walochezea azam jana ni wa hovyo,pitch ni mbaya,hivyo viwanja ni level ya timu za mitaani kutumia siyo timu za ligi kuu,
Waweke kapeti wachina hawawez kushindwa hiyo kazi kwa bei nafuu,pitch nzuri hufanya mpira uwe na mvuto.
 
Shida ni sisi wabongo kukubali kuburuzwa kila kitu na kina Karai, uwanja wa Sheikh Amri Abeid pitch ni mbaya mno inahitaji greda lisawazishe kisha zipandwe nyasi mpya au waweke carpet Arusha jiji zuri la wapenda soka wanashindwaje kuweka carpet , hata raia wakiambiwa na RC wachange pesa za carpet kuna vifaru watatoa.

Uwanja mzima una manundu, mpira hautulii chini, leo Yanga wamepata tabu sana kucheza ndondo pitch ndo maana Ihefu walitoboa kwa dakika 90.

Meneja wa uwanja hafai hata kidogo. Leo kaharibu burudani yote. Basi hiyo fainali wapige greda huko itakapochezwa!!
 
Karia ni mmoja tu ,kazi ya kujenga uwanja sio ya shirikisho ,team zenu ziwe na viwanja.Hakuna Raisi au mwenyekiti wa Tff amefanya robo ya karia kwenye mpira wetu,sio mpaka mtu aondoke ndio muanze kumuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…