Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hawa wapuuzi ndiyo chanzo kikuu cha ubovu wa viwanja vingi nchini!Mpaka ccm inyang'angwe viwanja vitabaki hivo hivo siku zote
Na hii ni baada tu ya kukwapua viwanja vyote vilivyojengwa kwa manufaa ya wananchi wote; na hivyo kuvigeuza kuwa vya kwao, na wakati huo huo wakishindwa kuviendeleza.