Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

Mpaka ccm inyang'angwe viwanja vitabaki hivo hivo siku zote
Hawa wapuuzi ndiyo chanzo kikuu cha ubovu wa viwanja vingi nchini!
Na hii ni baada tu ya kukwapua viwanja vyote vilivyojengwa kwa manufaa ya wananchi wote; na hivyo kuvigeuza kuwa vya kwao, na wakati huo huo wakishindwa kuviendeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…