William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata.
Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke Belarus na kuandaa propaganda zisizowezekana.
Hawezi kuamini kirahisi kinachosemwa na Urusi na kukubali kukitekeleza
Hakuna uwezekano wa makubaliano rahisi kiasi hicho kipindi ambacho yeye hajulikani alipo, anafanya Nini.
Maagizo yanayotolewa kwenye acc zake za mitandao ya kijamii huenda yanatolewa na watu waliomdhibiti au yeye chini ya shinikizo kubwa.