Huenda kiongozi wa Wagner wa Urusi kashikiliwa mateka

Huenda kiongozi wa Wagner wa Urusi kashikiliwa mateka

Alipewa mchongo akamshirikisha bosi akaweka maandalizi...! Jamaa wakaweka mzigo mezani....wadau wakaweka kibindoni halafu wacheza mchezo!!! Ni "the epic" wanaweza hayo mambo Hollywood hawaoni ndani!
 
Siku mtasikia WAGNER wameibukia Poland hamtaamini alafu Russia itapambana na NATO Indirectly vile vile kama NATO inavyofanya UKRAINE mark my word....
Urusi mwenyewe aliposikia kombora limetua kijiji cha Poland alianza kujiharishia alijua kipengele no 5 cha NATO kitahusika akawahi kukanusha hahusiki
 
Unajiandaa kuvunja mlango ukaibe lakini kabla hujauvunja unakuta kwa ndani umefunguliwa ili uibe kwa urahisi …wewe utaendelea?

unajiandaa kupapasa wallet ya Jamaa kwny mfuko wa nyuma kwny daladala jamaa anachomoa wallet anaifungua bila ya kukutazama wewe utaendelea na mipango ?

pale kuna mengi ya kutafakari na hata kina Biden walijizuia kutoa statement na badala yake walizungumza na kujadiliana juu kwa juu
Mkuu umenichekesha sana
 
Na CIA wamemshauri Prigo achukue tahadhari dhidi ya Urusi. Na wanadai walikuwa na clue juu ya like tukio.
Dah! Duniani kuna 'michezo' mingi
 
Back
Top Bottom