William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kasaliti nini??Putin alishasema, Hawezi kusamehe MSALITI.
Vyovyote iwavyo, Prigozhin atakua neutralized tu.
Warusi wa Tandale wanasema Putin na Prigo lao moja, wanatuchezea akili tu.Putin alishasema, Hawezi kusamehe MSALITI.
Vyovyote iwavyo, Prigozhin atakua neutralized tu.
Yale yalikuwa maigizo tu. Hakukuwa na coup yoyote pale.Alikosea kukubali rudisha majeshi nyuma, yeye angesonga mbele liwalo na liwe.
Kawaachia msala wenzake na familia zao
Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata.
Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke Belarus na kuandaa propaganda zisizowezekana.
Hawezi kuamini kirahisi kinachosemwa na Urusi na kukubali kukitekeleza
Hakuna uwezekano wa makubaliano rahisi kiasi hicho kipindi ambacho yeye hajulikani alipo, anafanya Nini.
Maagizo yanayotolewa kwenye acc zake za mitandao ya kijamii huenda yanatolewa na watu waliomdhibiti au yeye chini ya shinikizo kubwa.
Maigizo?Yale yalikuwa maigizo tu. Hakukuwa na coup yoyote pale.
Walimblackmail akiendelea na mapinduzi yake watawaua familia yake jamaa akaamua kusitisha.Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata.
Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke Belarus na kuandaa propaganda zisizowezekana.
Hawezi kuamini kirahisi kinachosemwa na Urusi na kukubali kukitekeleza
Hakuna uwezekano wa makubaliano rahisi kiasi hicho kipindi ambacho yeye hajulikani alipo, anafanya Nini.
Maagizo yanayotolewa kwenye acc zake za mitandao ya kijamii huenda yanatolewa na watu waliomdhibiti au yeye chini ya shinikizo kubwa.
Unajiandaa kuvunja mlango ukaibe lakini kabla hujauvunja unakuta kwa ndani umefunguliwa ili uibe kwa urahisi …wewe utaendelea?Alikosea kukubali rudisha majeshi nyuma, yeye angesonga mbele liwalo na liwe.
Kawaachia msala wenzake na familia zao
Ndio Putin na Prigo walikuwa wanacheza na hisia zenu.Maigizo?
Coup haijafyatuliwa hata risasi mojaYale yalikuwa maigizo tu. Hakukuwa na coup yoyote pale.