Huenda kiongozi wa Wagner wa Urusi kashikiliwa mateka

Alipewa mchongo akamshirikisha bosi akaweka maandalizi...! Jamaa wakaweka mzigo mezani....wadau wakaweka kibindoni halafu wacheza mchezo!!! Ni "the epic" wanaweza hayo mambo Hollywood hawaoni ndani!
 
Siku mtasikia WAGNER wameibukia Poland hamtaamini alafu Russia itapambana na NATO Indirectly vile vile kama NATO inavyofanya UKRAINE mark my word....
Urusi mwenyewe aliposikia kombora limetua kijiji cha Poland alianza kujiharishia alijua kipengele no 5 cha NATO kitahusika akawahi kukanusha hahusiki
 
Mkuu umenichekesha sana
 
ukiwa makini utaelewa huu mchezo
utapinduaje jeshi pasipo kumpindua raisi
 
Na CIA wamemshauri Prigo achukue tahadhari dhidi ya Urusi. Na wanadai walikuwa na clue juu ya like tukio.
Dah! Duniani kuna 'michezo' mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…