Huenda kuna Timu ndani ya Mwezi Mtukufu huu isishinde tena Mechi zake, kwani hata Majini yao hatari huuheshimu huu Mwezi!

Huenda kuna Timu ndani ya Mwezi Mtukufu huu isishinde tena Mechi zake, kwani hata Majini yao hatari huuheshimu huu Mwezi!

Ukijua Kukaza na Kuwatoa Watu Vinyesi vyao vizuri ni lazima tu utakuwa unatajwatajwa nao kila mara kama ambavyo GENTAMYCINE napenda Kutajwatajwa na niwatoao Vinyesi vyao.
Matusi hqyajawahi nitoa kwenye reli, hasa yakiwa yanatoka kwa aliyeshindwa
 
Kuanzia leo tarehe 11 hadi tarehe ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Ramadan) tutakuwa tunashinda kwa Taabu au kutoka sana Sare/Suluhu na hata Kufungwa pia kwani Majini kamwe hayatakubali kutumika kuchuma Dhambi za Makusudi kwa Allah (Mungu) kwa Mikafara ya Hatari (ya Kuua na Kuroga kwa kumtumia Mganga wa Kike aliye katika Period kutokea Bagamoyo Mkoani Pwani) pamoja na Kuiba Maiti Mochwari na Kutfu Viwanjani.

Haya sasa akina Fred Job Sports Club itumieni Fursa hii ya Majini ya Wenzenu Kupumzishwa Kipindi hiki ili nanyi mshinde na mpunguze Gap la Alama (Points) kwani baada tu ya Mfungo huu tutaendelea na Utamaduni wetu wa kuyatumia Majini yetu Hatari ambayo hata Bibi naye anayatumia ili Nyota yake ing'ae kwani kagundua si tu kwamba hakuna anayempenda ila hata anayemuelewa pia hakuna.

Kazi ipo!

Wewe jamaa ni bata wahed! yaani unawazaga uchawi uchawi tu! sijui wewe ni mwanga? Maana imani yko inawazaga negative kila wakati
 
Back
Top Bottom