Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

Hii ni post Yako ya ngapi kumhusu Tundu Lissu?
 
Akipewa tiketi ya uraisi atashinda ila tu ataunda serikali ya mseto.
Serikali kivuli sio gentleman?πŸ’

na huko si kukiri kwamba the gentleman is not popular kisayansi gentleman?

kwanini atumie mseto? au kwasababu he is physically unfit?
 
Tutaachia mengine ila sio uenyekiti
 
Tutaachia mengine ila sio uenyekiti
ila yeye kaachia bana umakamu uenyekiti kirahisi kabisaa dah..

sifahamu aliemshauri kama bado wako nae pamoja na sielewi walitumia mahesabu gani kuchukua uamuzi ambao unampa mawenge mno saivi dah!

dah,
gentleman,
mambo haya ni kujipanga kwa ustadi wa kiwango cha juu sana lakini pia kua na maono ya mbele zaidi kabla ya kuchukua uamuzi.

Ni muhimu zaidi kama wasomi,
kuasess kwa haraka sana merits na demerits ya maamuzi yetu na kuamua upande wenye faida zaidi πŸ’
 
Hii ndio siasa ,
Uchaguzi CHADEMA , C.C.M wanapiga kampeni.
 
Lisu ni Jasiri hawezi kuogopa uchaguzi wa Chadema.
Ameshapitia Magumu ya kutosha katika Siasa za Tanzania.

Ata Lisu akijitoa /Fukuzwa hawezi kukosa Chama Cha kumpokea na kama ata amua kurudi Bungeni kuwa Mbunge kupitia Chama chochote atashinda na kupata nafasi iyo.

Tunajua Mbowe amekaa madarakani kwa muda mrefu na ametengeneza Machawa wengi Sana.

Ata kama Mbowe anaona ukweli kwamba ni muda wa yeye kupumzika unaweza kuta ma Chawa hawapo tayari na Wana mshinikiza.
Ila vyovyote itakavyo kua ipo siku Mbowe ataondoka inaweza kua Sasa au baadae kidogo maana Muda haupo upande wake.
Machawa wajiandae ki saikolojia.
 
Ajiengue au asijiengue, agombee au asigombee, ashinde au asishinde, ahame au asishinde tayari mpaka hapo ameshaibomoa na kuisambaratisha Chadema vibaya mno.
 
Wewe wasema!!
 
So,
ni muhimu kila mgombea kujitathmini na kujipima ikiwa anafaa kua mgombea wa nafasi fulani ama laaa.

Hakuna haja ya mawenge wala mchecheto kwenye jambo hilo ambalo kinahitaji umakini na mipango mikakati ya maana sana

Weweseko la vijana wa mbowe linafikirisha sana.

SAFARI HII KITAELEWEKA.
 
Weweseko la vijana wa mbowe linafikirisha sana.

SAFARI HII KITAELEWEKA.
mdomo, pupa na kukurupuka kwenye mambo ya siasa ni kitu mbaya sana,

unskosa yote na kubaki mikono mitupu hivi hivi tu kwasababu ya tamaa ya kutaka vyote πŸ’
 
mdomo, pupa na kukurupuka kwenye mambo ya siasa ni kitu mbaya sana,

unskosa yote na kubaki mikono mitupu hivi hivi tu kwasababu ya tamaa ya kutaka vyote
Bora lisu anaeongea ukweli direct kuliko mwamba anaebwabwaja indirect kupitia machawa.
 
Hii ndio siasa ,
Uchaguzi CHADEMA , C.C.M wanapiga kampeni.
sidhani kama vyama vingine wanahusika ispokua chadema pekeyake.

hata hivyo,
ni fursa kwa wataalamu na wachambuzi wabobevu wa siasa za vyama kudigest, kudisect na kupredict matokeo ya uchaguzi huo kulingana na approaches za watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, na nguvu ya influence walionayo miongoni mwa wajumbe zaidi ya 1000 wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa zaidi katika u haguzi utakafanyika kabla ya pasaka,2025πŸ’
 
Bora lisu anaeongea ukweli direct kuliko mwamba anaebwabwaja indirect kupitia machawa.
siasa ni mipango mikakati sio mdomo gentleman..

akisema amesema, sio kusema sema tu 🀣
 
Nyie CCM ni washirikina sn achaneni na mambo ya CHADEMA fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti taifa kwanza
Gentleman,
ninachokifanya mimi ni kudigest, kudisect na kupredict kitaalamu popularity votes na influencial votes watakazopata chairmanship candidates kulingana na approaches zao katika kumendea nafasi hiyo muhimu.

sina upendeleo wala chuki na mgombea yeyote kwasababu wote ni marafiki na ndugu zangu.

So,
ni vizuri kufuatilia maandiko yangu kwa umakini mkubwa na kwakweli utajua na kufahamu mengi zaid ambayo hukua unayajua πŸ’
 
Nashauri uachane na mambo ya CHADEMA, ni lini CCM ilitoa form za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa?
 
Ajiengue au asijiengue, agombee au asigombee, ashinde au asishinde, ahame au asishinde tayari mpaka hapo ameshaibomoa na kuisambaratisha Chadema vibaya mno.
Gentleman,
kwa faida ya wadau,
hebu elezea kwa ufupi ni vipi kaibomoa chadema hali ya kua ni yeye binafsi kwa tamaa na mdomo wake kajibomoa wenyewe kisiasa?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…