missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Ok, nilitarajia mbowe atetewe na utendaji wake, bt cha ajabu anawatuma machawa ndo wamtetee, hii kitaalam inaitwaje mkuu?siasa ni mipango mikakati sio mdomo gentleman..
akisema amesema, sio kusema sema tu
kama mtaalamu mbobevu muandamizi wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa,Nashauri uachane na mambo ya CHADEMA, ni lini CCM ilitoa form za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa?
kitaalamu ni muhimu kuhakikisha kwamba, umefanya tathmini ya kina na kufanya mahesabu kwa umakini mkubwa kabla ya kujitokeza kugombea au kuomba uongozi wa kisiasa katika chama au Taasisi za kisiasa..Ok, nilitarajia mbowe atetewe na utendaji wake, bt cha ajabu anawatuma machawa ndo wamtetee, hii kitaalam inaitwaje mkuu?
ni political mistake ya kiwango cha juu mno kujitokeza kugombea uongozi kwa mbwembwe na makelele mengi sana, halafu unaelekea kushindwa uchaguzi huo vibaya sana kwa fedheha sana πKugombea ni kama kesi, kuna kushinda na kushindwa hiyo hata yeye anajua.
Gusia na CCMkama mtaalamu mbobevu muandamizi wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa,
siwezi kuchoka wala kuchelewa hata kwa sekunde moja kuwepo ndani ya vikao vya vyama vya siasa, lakini pia kurandaranda kwenye korido za ofisi kuu za vya vya siasa. Na hayo yote ni mambo ya kitaalamu, lakini pia kwa faida ya wadau wa siasa.
Hata hivyo,
nitaizungumzia mambo ya vyama vingine vya kisiasa, mpaka kwanza hili lililopo mbele yetu litakapohitimishwa rasmi mapema mwaka ujao kabla ya pasaka π
Ila mnahangaika sana wajameni. Hebu tujadili Uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye sekta ya AFYAni political mistake ya kiwango cha juu mno kujitokeza kugombea uongozi kwa mbwembwe na makelele mengi sana, halafu unaelekea kushindwa uchaguzi huo vibaya sana kwa fedheha sana π
tunza hii comment tutairejeaKwa sisi prophets of the doom, tunaoishi mbele yamuda, tunaoona mambo kabla hayajatokea...
Tumeona!..kuwa hizi ni siasa za kiinimacho Tu! Mbowe wala hatagombea, na lissu atapita bila kupingwa! Haya maamuzi wameshayapanga, na hii ndio njia ya utekelezaji wake tu
uzuri ni kwamba masuala ya afya na utimamu wa mwili kwa wagombea litaangaziwa vizuri sana ili kuamua mustakabali wa nafasi ya uenyekiti wa Taifa chadema πIla mnahangaika sana wajameni. Hebu tujadili Uwekezaji mkubwa uliofanywa kwenye sekta ya AFYA
zingatia maelezo ya kitaalamu gentleman,Gusia na CCM
UWT ukigusia ya nafasi ya Mwenyekiti taifa unapotea kama siyo kuuawa, muulize Ndugai kapotea mazima kwenye ramanizingatia maelezo ya kitaalamu gentleman,
ni muhimu sana kuhitimisha jambo moja kabla ya kuanzisha lingine bila kuchanganya wadau, ili hatimae tuwe na uelewa na ufahamu wa pamoja kama Taifa kuhusu mambo haya.
hakunaga papara katika mambo haya π
mungwana Lisu kaamua kuonja sumu kwa ulimi, na sasa anateketea taraaatibu dah,UWT ukigusia ya nafasi ya Mwenyekiti taifa unapotea kama siyo kuuawa, muulize Ndugai kapotea mazima kwenye ramani
UWT kwanini mnaumia kuliko CHADEMA wenyewe? Lissu na Mbowe wote ni wazurimungwana Lisu kaamua kuonja sumu kwa ulimi, na sasa anateketea taraaatibu dah,
kachukua fomu kinyonge mno, na kabisaa amekata tamaa dah π
maisha ya siasa yanahitaji umakini mkubwa sana
Gentleman,Siku akishinda utalazimika kubadili id kwa aibu au utaiacha hii id na kutumia zile zingine, maana ni mzee wa multiple id. Kutwa nzima unafanya propaganda mbaya dhidi ya lissu. Haya basi pendekeza mbowe naye agombee ili aendelee kuwa mwenyekiti ili muendelee kumuendesha kwa maridhiano mnayoyataka
Mama Ima,UWT kwanini mnaumia kuliko CHADEMA wenyewe? Lissu na Mbowe wote ni wazuri
yaani kapoa kichizi alipokua anachukua fomu dah!Wapumbavu wa CCM mnajitekenya na kucheka wenyewe kama mazuzu. Mumeacha kabisa kujadili ya kwenu mnapokezana kujadili ya Chadema chama mnachodai kuwa kimekufa.