Huenda Lissu akajiengua mapema kabla ya uchaguzi wa CHADEMA kukwepa aibu na fedheha za kushindwa vibaya sana uchaguzi wa ndani wa chama

Uchaguzi wa CHADEMA wanaopiga mayowe ni CCM

Nchi ngumu hii
Gentleman,
kama wabobevu wa masula ya vyama vya siasa lazima kudigest, kudisect na kupredict outcomes za uchaguzi huo kwa wadau , kwa wakati muafaka na kwa usahihi πŸ’
 
Mleta mada wewe ni ccm yanakuhusu nn ya CHADEMA?
 
Ila kwann hili swala ni Kama mmelibeba sana wale ambao sio CDM? Huruma hii kwake inatoka wapi labda!
kama mtaalamu ni lazima kulieleza hili kama somo kwa wanasiasa, hasa chipkizi kwamba siasa ni mipango mikakati na siasa ni mahesabu makali,

sio pupa, makelele na mdomo tu πŸ’
 
Bado huenda zinaendelea... Sijui zimeshafika mia ngapi huko🀣🀣🀣 halafu zote feki
 
Mleta mada wewe ni ccm yanakuhusu nn ya CHADEMA?
mimi ni mtaalamu mbobevu wa masula ya siasa za vyama,

naeleza haya kinagaubaga,
ili walau kuwapa wadau na wanasiasa chipkizi, uelewa na ufahamu dhidi ya athari za tamaa, makelele, mdomo na pupa kwenye siasa...

na kuwaelekeza kwamba siasa ni mipango mikakati, na siasa ni sayansi na mahesabu muhimu hasa nyakati za uchaguzi.

na haya nafanya sio kwa ubaya ila ni kwa faida ya wadau JFπŸ’
 
kama mtaalamu ni lazima kulieleza hili kama somo kwa wanasiasa, hasa chipkizi kwamba siasa ni mipango mikakati na siasa ni mahesabu makali,

sio pupa, makelele na mdomo tu πŸ’
Mambo ya chipukizi yapo ila sio kote na siku hizi hayatiliwi maanani sana. Hulka zetu Kama wanadamu hazifanani. Unamuona Donald Trump? πŸ˜€ Anazungumzia sana ile ndivyo yeye alivyo na Biden je? Watu hatufanani
 
Bado huenda zinaendelea... Sijui zimeshafika mia ngapi huko🀣🀣🀣 halafu zote feki
uzuri JF hakifutiki kitu,
haya ni mambo ya kitaalamu sana gentleman,

na kutokea ni suala la muda tu ambalo halihitaji mashaka sana, inaweza kutokea wakati wowote, ni muhimu sana kuzingatia hiyo, but jambo la maana sana ni kwamba muungwana atajiengua before electionπŸ’
 
Chawa chawa
 
Mkuu, huyo kujiengua ni ndoto zako za mchana. Ufahamu kwamba yeye anajua anacho kifanya, Mwenyekiti wake pia anajua kinacho fanyika; hivyo Mwenyekiti mpya atapatikana, kistaarabu sana na sio kama ule uchaguzi uliopita.
 
Ccm mmejibrand kama watu wa hovo, fitina,chuki, wezi, wachawi, wachonganishi, roho mbaya,

Hampendi kuona kitu kizuri kinazaliwa
Hampendi maendeleo
Hampendi demokrasia

Nyie Kila kitu ni fitinatu
 
kitaalamu mie naelezea siasa za ndani ya chadema iliyogawanyika na sio ndoto za mtu..

Hakunaga uchaguzi wa ndani ya Chadema ulowahi kupita kwa utulivu bila kuwepo vibwengo πŸ’
 
Yes,
ameomba kwa tamaa na uchu wa madaraka sana, na kuamua kuuacha umakamu mwenyekiti ambao angeupata kirahisi sana,

hii ndiyo ile inaitwa mtaka yote kwa pupa hukosa yote πŸ’
Haki yake ya Kikatiba kuomba nafasi yo yote!
 
Ccm mmejibrand kama watu wa hovo, fitina,chuki, wezi, wachawi, wachonganishi, roho mbaya,

Hampendi kuona kitu kizuri kinazaliwa
Hampendi maendeleo
Hampendi demokrasia

Nyie Kila kitu ni fitinatu
gentleman,
chuki binafsi na makasiriko sio jambo la maana kwenye siasa.

infact hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.

hata hivyo,
kitaalama mimi ni mchambuzi wa siasa za vyama vya siasa, na kwahivyo masuala ya chuki, fitina, uchonganishi na makasiriko binafsi hayana nafasi katika maelezo yangu, na mambo kama hayo ni useless na completely nonsense kwenye chambuzi zangu za kibobevu kwa faida ya wadau JF πŸ’
 
Haki yake ya Kikatiba kuomba nafasi yo yote!
hajakatazwa na yeyote gentleman, ila ile tamaa, uchu na mdomo ndio lesson kubwa mno kwa wanasiasa wanaochipkia ..

Ni muhimu sana kutumia haki zetu kwa hekima na busara bila tamaa πŸ’
 
Gentleman,
kama wabobevu wa masula ya vyama vya siasa lazima kudigest, kudisect na kupredict outcomes za uchaguzi huo kwa wadau , kwa wakati muafaka na kwa usahihi πŸ’
Chawa na ubobezi wapi na wapi?

Wahi hospitali wakufanyie brain restoration
 
Chawa na ubobezi wapi na wapi?

Wahi hospitali wakufanyie brain restoration
muerevu,
kwamba hapo ndio umeeleza pwaintiiii ya maana sana na kingereza mingi dhidi ya hoja mahususi mezani, right?🀣

haya mambo si ya kuvamia ndrugu zango inahitaji umakini na bongo kali πŸ’
 
muerevu,
kwamba hapo ndio umeeleza pwaintiiii ya maana sana na kingereza mingi dhidi ya hoja mahususi mezani, right?🀣

haya mambo si ya kuvamia ndrugu zango inahitaji umakini na bongo kali πŸ’
HayaπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…