Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania