Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

hakuna anayelazimishwa kuchagua au kuchaguliwa, NO ELECLTION ni childish illusions ya imbecils
ni narrative potofu isiyo na athari yoyote kisiasa, kijamii na kiuchumi ndio maana imepuuzwa kirahisi sana ground, field na kwenye mitandao ya kijamii 🐒
 
Tlaatlaah Metal capacity yako ni ndogo, huwezi ukabishana na ukweli ukabakia na Amani ya moyo, unapoweka pachika hapa jaribu kureason, kidogo chawa Paskal anajitahidi japo na yeye anajua ukweli lakini njaa inamfanya ajiondoe ufahamu, mumebakia kuwa Political sycophants, (chawa wa kisiasa)
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
1749260038238.jpeg
 
We jamaa kumbe ni mlemavu mpka wa akili
relax gentleman,
huna haja kunyanyapaa na kubeza jamii ya watu wenye uelemavu ikiwa huna hoja au pweinti.

hujafa hujaumbika gentleman 🐒
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Kazi yako ngumu
 
Ndo usituletee threads za kindezi hapa.
ikiwa huna pweinti unahaja gani kufuatilia uzi wa maana kama huu gentleman?
si unajitafutia mihemko ya bure tu nawe hupendi ukweli 🐒
 
Back
Top Bottom