Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

Kwanza ni ukweli kuwa duniani kote hakuna chama duniani kinachokubalika kila mahali. CHADEMA ni chama chenye nguvu kwenye maeneo yenye watu waliokomboka kifikra na wenye uchu wa mabadiliko kwenye maisha yao.

Ndiyo maana leo hii uchaguzi ukifanyika kwa uhuru na haki CHADEMA itashinda maeneo mengi sana yenye watu wenye tabia za kimji.

NO REFORMS NO ELECTION!
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Mavi yanawagonga siyo, na bado hamjasema NRNE.
 
Mkuu Tlaatlaah uwe unaunga mkono au laa kwa sasa kuzima moto wa No reforms no election ni vigumu sasa.
 
Back
Top Bottom