Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania

Hiyo ni kawaida tu

Ni kama wanainchi tulivyokuwa na ukata

Hakuna ela, hakuna ajira, viwanda vyote vya wachina sisi tumebakia kusifia tu ndio tupate tone tone

Nyie mnaela bwana, kodi zetu zote mnachukua, na mnajenga jongo la 30B+
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Pessimistic people
 
Le Machokoz ya ccm
 
Kwanza ni ukweli kuwa duniani kote hakuna chama duniani kinachokubalika kila mahali. CHADEMA ni chama chenye nguvu kwenye maeneo yenye watu waliokomboka kifikra na wenye uchu wa mabadiliko kwenye maisha yao.

Ndiyo maana leo hii uchaguzi ukifanyika kwa uhuru na haki CHADEMA itashinda maeneo mengi sana yenye watu wenye tabia za kimji.

NO REFORMS NO ELECTION!
tatizo lenu bado mnatembelea ule upepo wq lowasa, chadema ikismama yenyewe ni labda waamue tu kubalance uchaguzi ila hamna viongozi kule
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Mi ni CCM lakini acha uongo na umbea.
 
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana. ni
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe mwandishi dishi linayimba.

Au smart imekamata.

Tone tone ni hoyari hakuna anaelazimishwa kutoa. Hapa hakuna kupeleka barua ya kuomba mchango nyumbani kwa mtu.
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
CCM wametepeta eee - ha ha ha ha
Tuliwaambia huwezi ongoza nchi kwa usanii usanii ukafikiri wananchi watakuwa wajinga muda wote.

Ifungieni hata leo mmechelewa.
 
Jhhaya ikitokea hivyo Salamu yao inaweza kuwepo wakati wote
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha ya
 
Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.

Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.

My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Hivi wewe ni mwanaume kweli?
 
tatizo lenu bado mnatembelea ule upepo wq lowasa, chadema ikismama yenyewe ni labda waamue tu kubalance uchaguzi ila hamna viongozi kule
Ndo waambie mabadiliko yafanyike,uone watakavyokulaumu.
 
Back
Top Bottom