Hayo mateso unayokumbana nayo huko kijijini ni upungufu wako wa akili tuu. Nenda kariakoo ukaone wenye akili wanavyotengeneza pesa na kuishi kwa raha hawaijui hata chadema wala CCM.Mpuuzi tu wewe, unafatilia yasiyokuhusu, elezea mgogoro ndani ya chama chako. Sisi wananchi tulio huku mapolini pia tunajua mateso tupatayo toka kwa watawala, natumaini mateso haya yaweza kuisha kwa chama mbadala na c chengine zaidi ya CHADEMA.
NO REFORM NO ELECTIONHayo mateso unayokumbana nayo huko kijijini ni upungufu wako wa akili tuu. Nenda kariakoo ukaone wenye akili wanavyotengeneza pesa na kuishi kwa raha hawaijui hata chadema wala CCM.
NO REFORM NO ELECTION🇹🇿🇹🇿🇹🇿gentleman,
mbona mnabebana ufala kifikra kindezi hivyo makamanda?
kumbe kukosa hoja ni kubaya hivyoee 🐒
gentleman,Hayo mateso unayokumbana nayo huko kijijini ni upungufu wako wa akili tuu. Nenda kariakoo ukaone wenye akili wanavyotengeneza pesa na kuishi kwa raha hawaijui hata chadema wala CCM.
Poti, acha matusi- mtafute John Heche akusajili winger machachari…gentleman,
mbona mnabebana ufala kifikra kindezi hivyo makamanda?
kumbe kukosa hoja ni kubaya hivyoee 🐒
..usimtaje Mungu wakati umeandika uongo na upuuzi mwingi!Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
haturuhusu mihemko, makasiriko wala matusi kwenye mijadala ya maana kama hii,Poti, acha matusi- mtafute John Heche akusajili winger machachari…
Tutapitisha Bakuli tukimaliza kuli No Reform No Election.Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
Salaleeh😜haturuhusu mihemko, makasiriko wala matusi kwenye mijadala ya maana kama hii,
ikiwa point nzito ya kweli imemlemea mdau, basi arilax tu asichanganyikiwe na kuona point ile nzito ni tusi. hiyo ndiyo afya ya mijadala.
mvuta bangi na mropokaji heche hana credibility za kua kiongozi, ana beti sana aise 🐒
Tanzania inavingi vya maana lkn haikosi kasoro...Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
huna haja ya mihemko wala makasiriko kwenye mijadala muhimu kama hii ikiwa huna pweinti gentleman 🐒Tanzania inavingi vya maana lkn haikosi kasoro...
kasoro yenyewe ndio kuwa na majinga kama wewe!!!
Kwanini unawashwa ukiona watu wanadai iliyo haki yao??!
mbaya nikuwa wakukukuna hayupo utawashwa saana 😏
Kuna watu wapumbavu sana, ujinga wao eti yeye masikini kwa ajili ya CCM, ina maana hiyo CCM inaleta umaskini kwenye ukoo wake tuu? Tanzania i a watu zaidi ya 65 M, matajiri wapo, wenye hela ya kula wapo, masikini wapo.gentleman,
mbona umeeleza ukweli mtupu kwa uchungu hivyo aise?
hujui ukweli unauma?🐒