No reform no electionUkata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa.
Uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
calm down gentleman,Mpuuzi wewe. Ukilala Chadema, fanya maisha mengine.
Gentleman CDM itakuua relax dua za kuku hizoUkata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe ndo huyu Smeagol!ππ
Relax gentleman,Mpuuzi tu wewe, unafatilia yasiyokuhusu, elezea mgogoro ndani ya chama chako. Sisi wananchi tulio huku mapolini pia tunajua mateso tupatayo toka kwa watawala, natumaini mateso haya yaweza kuisha kwa chama mbadala na c chengine zaidi ya CHADEMA.
gentleman,Chadema wakisema wamekosa pesa za kuendesha kampeni zao ndipo account zao zitajaa maana sisi wananchi tunapenda kampen zao
Nenda ukafirimbwe na MwiguluUkata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
hata wanachadema wanagoma kuchangia pesa kwenye kibakuli wanataka uwazi wa mipango, wanachangia nini wakati chama hakishiriki uchaguzi na hakina kazi ya kufanya?πBado Nawakumbusha tena Uzazi wa mpango ni muhimu sana
#No reforms no election
Sio kweligentleman,
account zinajaa vip wakati wanachadema wamekataa kubebwa ufala kifikra na kuchangia kazi za chama ambazo ni nonsense?π
Wewe unajitoa ufahamu. Jana hukuona Dodoma walivunja rekodi ya tone tone?hata wanachadema wanagoma kuchangia pesa kwenye kibakuli wanataka uwazi wa mipango, wanachangia nini wakati chama hakishiriki uchaguzi na hakina kazi ya kufanya?π
Pigia mstariKumbe ndo huyu Smeagol!ππ
View attachment 3361699