Huenda mimi nikawa Mtanzania pekee kuzishabikia Simba na Yanga zote kwa Pamoja

Wewe ni mpenzi wa burudani sio shabiki wa mpira[emoji3]
 
Wewe ni mpenzi wa burudani sio shabiki wa mpira[emoji3]
Yaa nahisi ndo ninapoelekea huko sahv maana hata Man U na Liverpool zote nazishabikia na leo naenda kuziangalia wanapokutana nikiwa sina upande wwte..[emoji16]
 
Mimi linapokuja suala la timu hizi mbili(Simba na Yanga) kuwa kwenye mashindano ya Kimataifa, kwa kweli napenda timu zote zifanikiwe. Lakini tukija kwenye Ligi yetu aa Bwana lazima mizani uelemee upande mmoja .
 
We utakuwa m burundi
 
Mimi linapokuja suala la timu hizi mbili(Simba na Yanga) kuwa kwenye mashindano ya Kimataifa, kwa kweli napenda timu zote zifanikiwe. Lakini tukija kwenye Ligi yetu aa Bwana lazima mzazi ulemee upande mmoja .
Afadhali ya ww mkuu sasa wajuba wengi hadi za kimataifa wanakaza daahh[emoji23][emoji119]
 
Hayati JPM alishona nguo yenye rangi ya SIMBASC upande mmoja & na YANGASC upande mwingine. Ila hilo haimaanishi kuwa anazipenda zote, lazima mzani kuna sehemu utalemea.
Mimi mzani umebalance kotekote zote nazishabikia.[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…