Huenda msimuone tena Okra uwanjani kwa miezi kadhaa au msimu mzima

kwani wewe ni Mungu?
 
Atakuepo nusu fainali ya mapinduzi iwapo waNANCHI watafuzu,umesikia weKUNDU wa msimbazi
 
 
Ila huyu Augustine Okrah naye tumepigwa aisee. Bora Jesus Moloko angeendelea tu kubaki mpaka mwishoni mwa msimu.
Usajili wa hovyo kabisa huu kwa wananchi!

Ukija kwa Joseph Guede naye, mambo ni yale yale! Tofauti yake na Hafiz Konkoni, hata siioni mpaka sasa.
 
Okrah anazingua
Wachezaji kutoka Ghana ni watu wa starehe ni wasumbufu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GUEDE ana kitu sema anamapepe akitulia atafanya vizuri kumbuka hata pacome alianza mdogo mdogo
 
Ila wee jamaa sometimes miyeyusho sana, yaani unamjaji mchezaji kwa mechi mbili tu? Kisa tu hakufunga?
 
GUEDE ana kitu sema anamapepe akitulia atafanya vizuri kumbuka hata pacome alianza mdogo mdogo
Nadhani alikaa sana bila kucheza mechi za mashindano. Ila akicheza mfululizo hata mim naona ana kitu mguuni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…