Huenda msimuone tena Okra uwanjani kwa miezi kadhaa au msimu mzima

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Okra magic jana "KAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI" kifuti, ni baada ya kutaka kujaribu kugombania mpira wa juu, aliye mpiga ni mchezaji wa "KIKOSI MAALUMU CHA VALANTA ZANZIBAR"

Alipoteza fahamu baada ya tukio lile nadhani sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, alibebwa kwenye machela, hakurudi uwanjani, alifanyiwa sub ikumbukwe aliingia kwa sub, sub juu ya sub.

Hapa unapata picha aliumia pakubwa, hakutokwa na damu maana yake kaumia kwa ndani, alipigwa kwenye paji la uso, ubongo wa mbele uliumia? jibu linaweza kuwa ndio kwa sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, endapo itakuwa kweli basi tegemeeni mambo magumu kiufupi maombi yanahitajika lile tukio ni kubwa sana japo kuwa wengi hamkulichukulia serious.
 
Madhara yanayoweza kujitokeza endapo mtu ataumia sehemu ya mbele ya ubongo ni 1. Kupoteza kumbu kumbu 2. Kupoteza uwezo wa kufikiri (thinking process) 3. Kuwa na tabia za ulipukaji (impulsive behaviour) n,k
 
Okra magic jana "KAPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI" kifuti, ni baada ya kutaka kujaribu kugombania mpira wa juu, aliye mpiga ni mchezaji wa "KIKOSI MAALUMU CHA VALANTA ZANZIBAR"

Alipoteza fahamu baada ya tukio lile nadhani sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, alibebwa kwenye machela, hakurudi uwanjani, alifanyiwa sub ikumbukwe aliingia kwa sub, sub juu ya sub.

Hapa unapata picha aliumia pakubwa, hakutokwa na damu maana yake kaumia kwa ndani, alipigwa kwenye paji la uso, ubongo wa mbele uliumia? jibu linaweza kuwa ndio kwa sababu hakuweza kunyanyuka wala kutembea, endapo itakuwa kweli basi tegemeeni mambo magumu kiufupi maombi yanahitajika lile tukio ni kubwa sana japo kuwa wengi hamkulichukulia serious.
Tangia mle rambirambi za yule Mkongo akili zenu ziliyumba kabisa.
 
Mungu anajua zaidi, nasubiri taarifa rasmi ya Klabu juu ya hili kama ni serious kweli.
 
Simba wamefanya yao. Furaha iwaendee wana Simba kokote waliko
 
Back
Top Bottom