MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Around saa saba kwetu umeme ulikatika ila ulirudi baada DKK kumiJana ulilala saa ngapi maana Tanesco walinirubuni nikakosa Updates zako kwenye hizo tuzo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Anauza kirahisi tu kupitia bongo movie hana haja ya kwenda corner Bar wala Sinza Mori
mkuu sio na "chachandu" inasaidia mambo haya bwanaNi ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za Kimafanikio katika maisha yao ya kila siku na ndiyo utaweza kuona kila siku wanasema / wananangwa na wengi lakini ndiyo wanazidi tu kutuacha Kimafanikio huku Sisi tukibaki tu majungu yetu na Wivu mioyoni mwetu.
Nadhani imefika muda sasa akina Diamond na Sepenga watugawie Sisi wengine sehemu tu ya ' Nyota ' zao za ' Jaha ' ili nasi basi tuweze ' Kutusua ' Kimaisha na tuwe na mafanikio badala ya Sisi kuwekeza tu katika kuwapiga wao majungu huku umasikini / ufukura ukitutawala hadi katika Kope za macho yetu.
Nawasilisha.
Hahahah mkuu siku hizi umekuwaje tena hahahaUnataka na wewe ufanyiwe operesheni ya matako....!?
We jamaa kila kitu huwa unapenda kujifanya great thiiiiiiinker ila naona una mashudu tuu kwa kichwa,, sa umeandika nn??Haiwezekani kila uchao / siku tunawapiga majungu, tunawadhihaki kwa kila namna lakini cha ajabu Sisi tunawafanyia hivyo Umasikini / Ufukara wetu ndiyo unazidi tu Kuongezeka halafu Wao ndiyo Kwanza Mwenyezi Mungu anawanyooshea njia zao za baraka na kuwapa ' mafuriko ' ya Kimafanikio. Kuna mahala ambapo wawili hawa wanatushinda hivyo watusaidie tu watuambukize nasi hata kiduchu / kidogo tu hizo ' Nyota ' zao.
InawezekanaUnataka na wewe ufanyiwe operesheni ya matako....!?
We jamaa kila kitu huwa unapenda kujifanya great thiiiiiiinker ila naona una mashudu tuu kwa kichwa,, sa umeandika nn??
Hivi mbona wasafi TV hawapigi ngoma za mfarume kiba????
Kichwa maji we 24/7 upo JF then unajiaminisha ni great thinkerIdiot. Na kuhusu Mimi kujifanya Great Thinker wala kusikusumbue sana kwani ukweli ni kwamba ndivyo nilivyoumbwa na kubarikiwa nae Mwenyezi Mungu ambaye huyo huyo tena akakubariki Wewe na huo ' Upumbavu ' wako unaokusumbua ambao ni dhahiri shahiri kuwa umeurithi kwa waliojitahidi Kufanya Mapenzi yao ya ' Kiuwendawazimu ' Kitandani hadi ' Mimba ' ya Kuzaliwa Wewe ikatokea.
Hongera pia kwa kuchukua muda wako mwingi kusumbuka kuanzisha ID mpya ambayo imeanza kutumika leo humu ili tu uweze kumchokoza na kujibizana na GENTAMYCINE ambaye ni Jeshi la Mtu mmoja. Nawapenda mno ' Wapumbavu ' kama nyie halafu nashangaa mnajitahidi kuanzisha ID's mpya kupambana nami wakati Mimi nawashindeni kwa hii hii ' Brand ID ' yangu kila uchao humu.
Kichwa maji we 24/7 upo JF then unajiaminisha ni great thinker
sawa mama wa kitangaWala hujakosea huwa napatikana humu kila siku Saa 3:30 asubuhi hadi Saa 5:00 asubuhi kisha Saa 8:30 mchana hadi Saa 10:00 jioni na Saa 4:00 usiku hadi Saa 6:00 usiku. Nitaomba unihesabie hayo Masaa tajwa hapo kisha nipe majibu je yanatimia Masaa 24 uliyoyasema? Halafu naomba nikuulize ' Kajiswali ' hivi Wewe unahusika na kuninunulia Mimi ' bundle ' la kuniwezesha kuwepo humu kila hayo masaa? GENTAMYCINE akiwemo humu Wewe anakuongeza au anakupunguzia nini? Sasa kwa kukusaidia tu ni kwamba uwepo wangu humu kila Siku una ' impact ' kubwa sana Kijamii, Kisiasa, Kimichezo, Kiburudani, Kihabari, Kimaarifa na Kielimu. Kiburi changu kikubwa nakipata kutokana na ' mrejesho ' mkubwa ninaoupata kutoka sehemu mbalimbali juu ya ' Brand ID ' hii ya GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.
Na kuhusu Historia ya maisha yangu sidhani hata kama nikikuwekea hapa unaweza ukaifikia kwa lolote lile sana sana ndiyo Kwanza nazidi tu Kukudharau kwani najua ya kwamba unaumizwa na jinsi GENTAMYCINE ninavyokubalika na kufuatiliwa na Wengi huku kila kukicha nazidi tu kupata ' Followers ' humu JF ambako hadi sasa ninao 32 huku nikiwa sina uhakika kama ' Pumbavu ' Wewe ukijumlisha ile ID yako uliyoipa likizo na hii mpya kama unao hata Wawili ( 2 ) tu. Mliokulia katika maisha ya dhiki, taabu na shida huwa mna majungu, wivu na uswahili mno huku mkitaka kulazimisha Watu wengine waishi kama nyie. Nipo humu muda wote huo lakini naingiza ' Kipato ' vile vile na hata ikitokea maisha yakanipiga nashukuru Mwenyezi Mungu ' Wazazi ' wangu walijitahidi ' Kuwekeza ' hivyo Mtoto wao sitoteseka sana. Sasa Wewe niige ulale njaa Swine.
Kuhusu Mimi kuwa Kichwa Maji wala hujakosea kwani kupitia Maji hayo hayo naweza nikayachuja na kupata Maji mazuri ya kusaidia kuuimarisha Ubongo wangu na nikawa Kipanga / Mwerevu kama hivi nilivyo ila sijui kwa Wewe ' Kichwa Kinyesi Uharo ' unaweza ukajisaidiaje ili uje kuwa sawa sawa.
Hii ni ' dozi ' yangu tu ya awali Kwako nasubiri sasa urudi tena ili ' Mwanamume ' nimalize Kazi tuweze Kuheshimiana.
sawa mama wa kitanga