Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kwani wema kafanikiwa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geni I miss you mama..lFan followers wenye matusi!!na kumsifia vibovu
[emoji2] thanx ba!Nipo humuGeni I miss you mama..l
Kitambo kidogo sijakuona aisee[emoji2] thanx ba!Nipo humu
Ni ukweli usiopingika kwamba Watu maarufu hawa Mwanamuziki Nasib Abdul ( Diamond Platinum ) na Msanii wa Maigizo na Mlimbwende Wema Sepetu ( Sepenga ) ni Watu wenye ' Nyota ' kali sana za Kimafanikio katika maisha yao ya kila siku na ndiyo utaweza kuona kila siku wanasema / wananangwa na wengi lakini ndiyo wanazidi tu kutuacha Kimafanikio huku Sisi tukibaki tu majungu yetu na Wivu mioyoni mwetu.
Nadhani imefika muda sasa akina Diamond na Sepenga watugawie Sisi wengine sehemu tu ya ' Nyota ' zao za ' Jaha ' ili nasi basi tuweze ' Kutusua ' Kimaisha na tuwe na mafanikio badala ya Sisi kuwekeza tu katika kuwapiga wao majungu huku umasikini / ufukura ukitutawala hadi katika Kope za macho yetu.
Nawasilisha.
Kutika kwenda wapi?Yule kutoka kwake inabidi kwanza aachane na maisha ya mitandao hasa insta ..... making headline bila pesa ni upuuzi