Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Kwa uchizi wake huo,anaweza kuiingiza Dunia katika vita vya nyukilia.Biden kazidi uzeee , hivi karibuni alitaka kumbusu mwanamke mwingine alifikiria ni mkewe ...Yule jamaa kiufupi hajielewi ana magonjwa ya uzee kama kusahau .
N suala la muda tu. Sioni akiendelea. Na mbaya zaidi sasa hivi macho yote yako kwake kwa hiyo ameshaingia kwenye circle mbaya sana ya kutojiamini. Kila anachofanya kinawekwa kwenye darubini. Hyu hata mdahalo mwingine atafanya vibaya zaidi.
Hawatamwacha agombee tena. Sidhani itapita hata wiki kabla hajajitoa.Biden kazidi uzeee , hivi karibuni alitaka kumbusu mwanamke mwingine alifikiria ni mkewe ...Yule jamaa kiufupi hajielewi ana magonjwa ya uzee kama kusahau .
[emoji2960][emoji2960]madaraka matam mnooo