Biden kazidi uzeee , hivi karibuni alitaka kumbusu mwanamke mwingine alifikiria ni mkewe ...Yule jamaa kiufupi hajielewi ana magonjwa ya uzee kama kusahau .

N suala la muda tu. Sioni akiendelea. Na mbaya zaidi sasa hivi macho yote yako kwake kwa hiyo ameshaingia kwenye circle mbaya sana ya kutojiamini. Kila anachofanya kinawekwa kwenye darubini. Hyu hata mdahalo mwingine atafanya vibaya zaidi.