Huenda Rais Samia akashinda uchaguzi kwa asilimia 97%. Watanzania walishachoka na Upinzani wa mchongo

Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Chaneli 103 kwenye Azam Tv
 
Kwa makubwa aliyofanya 97% ni chache, atapata zaidi ya hizo
Kwa makubwa(negative) anaweza kupata zaidi ya hizo watz wameshajichokea NI sawa na paka alieyufungwa kengele akadumu siku 7 bila kula hata alipoletewa panya wadogo wadogo bado alishindwa kula.

Watanzania wengi ni Maiti so tutarajie ushind WA kishindo Kwa ssh
 
Je anashindana na kina nani - yaani umejiweka katika kundi la viwete afu unapiga filimbi eti mkimbizane... huo si ni uchafu.
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Screenshot_20250405_004444_X.jpg

Kwa njia ya kura haishindi ila kwa njia ya hizi za udanganyifu atashinda hata 100%
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
🚮
 
Madikteta kupika matokeo ni kawaida sana kwao,wao kujiwekea 99%kawaida sana chunguza utaona.
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.

Hakuna uchaguzi hapa ni ujinga jinga CCM A na CCM B badala ya maigizo ni bora ange endelea bilą uchaguzi
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Watanzania unaowazungumzia km ni kama wewe, basi we ni zezeta
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Hilo liko wazi Samia mitano tena
 
Kwa hiyo inapambana na shida za watu kwa:
1. Kuua watu.
2. Kupoteza watu.
3. Kuzuia kundi fulani la wakristo kufanya ibada.
4. Kukokuwabana matajiri fulani kwenye biashara ili wachangie CCM. Rejea hotuba ya Samia wakati wa kuchangia CCM.
5. Kuruhusu watu kula kwa urefu wa kamba zao.
6. Kuita katiba "kijitabu" wakati ndicho kinampa mamlaka ya kutawala.
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Sisi CHAUMA tutashinda kwa kishindo
 
Asilimia 97 za watu wangapi ? Ukiangalia kwa sasa duniani watu wapo so detached na Politicians ni vigumu sana kwa asilimia hata 50 za wapiga Kura wenye vigezo kushiriki (kwahio hizo asilimia zote zinazopatikana huwa ni kutoka wa idadi ndogo sana ya UMMA
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Tume umeiteua wewe, wasimamizi wote ni makada wa, ccm, sasa, Hapo, cha, ajabu, ni nini?
Ni, sawa, na, baba, unataka, mke na watoto wako wakupigie kura, usipopata, kura za, kutosha, hakuna kula, ni, kulala nje! Even a retarded person knows what gonner be the outcome, sasa, ma, ccm mnashangaa nini"samia akishinda kwa, kishindo"? So, parhetic
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO

Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Kwa iyo unashaur wako wasuse waachie ccm uchaguz peke Yao maana wananchi wanaonyesha kuchukua sana upinzan ?
 
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.

1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU.
5. MY FRIENDS, KWA SASA CCM INAPAMBANA NA SHIDA ZA WATU SIO UPINZANI HUU WA MCHONGO.
Kwa safari hii hakuna kura bandia kama huwa zinakuwepo upande wa rais tunatiki wenyewe na mama s anaundi wa kishindo kizito
 
Back
Top Bottom