Huenda Samia amejipanga kuishi na wapinzani ki-laghai kama alivyoishi nao bwana yule

Huenda Samia amejipanga kuishi na wapinzani ki-laghai kama alivyoishi nao bwana yule

Historia bado itamkumbuka Rais Kikwete kwa kuishi ki laghai na wapinzani wake muda wote wa uongozi wake.

Rais kikwete alifahamu vyema mdundo wa kina Mbowe na Lisu na hakika aliucheza vyema kwa kuwahadaa na hata walipodemka huko katika mikutano ya hadhara kwanza aliwachapa sawasawa kwa mijeredi kupitia Polisi na kisha aliwaita Ikulu kuwapoza na chai na bashkiti.

Mwisho Rais Kikwete alimaliza Utawala wake kwa amani kabisaaaa!

Sasa kuna dalili Rais Samia ndipo anapotaka kuelekea na tayari ameshamchapa Mbowe na miezi nane gerezani na juzi kamtoa na akamwita Ikulu na kumpoza kwa dinner.

Muda utaongea.
Let's give her a benefit of doubt
 
Siasa za Tanzania
🎶🎶🎶🎶 Alieuziwa cheni katoa hela bandia, na alietoa hela kauziwa chini bandia. Kwahiyo watoto wa mjini tunasema ngoma droo.. bongo eeeh bongo dar es salaam utalia lia liaaaaa ndani ya dar es salaam 🎶🎶🎶🎶. Sio mbaya mlaghai kuwalaghai walaghai wenzie.

View attachment 2140842

View attachment 2140843
Siasa za Afrika

  1. Refa ameandaliwa
  2. Mtoa pasi ameandaliwa
  3. Mkabaji ameandaliwa
  4. Vibendera wameandaliwa
  5. Golikipa ameandaliwa
  6. Mazingira ya kufunga goli yameandaliwa
  7. Hata washangiliaji wamewekwa sawa
Tazama clip
 

Attachments

  • VID-20220306-WA0001.mp4
    12.4 MB
Back
Top Bottom