Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!Muulize mwl. Wenu wa darasa huru la uongozi anayo majibu yote.
Kuacha kufikiri maana yake kutumia akili ya Hamza aliyelala makaburi ya KisutuAhahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!
Kama unafikiri akili ya Hamza itakusaidia; well, go ahead! Bado kuna nafasi ya kutosha karibu na kaburi la Hamza!Kuacha kufikiri maana yake kutumia akili ya Hamza aliyelala makaburi ya Kisutu
Chakwenu kipo juu kwakuwa mbeleko zote zipo kwa ajili take pekee.mavyama ya upinzani yote yako ICU, upinzaniuchwara
Wewe endelea kufikiri kama mtoto wa mbeleko.Ahahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!
Mbona nchi zingine wapinzani wamechukuwa nchi bila mabadiliko ya nchi? Kwanza imngekuwa vizuri upinzani kuchukuwa nchi badala ya kung'ang'ania kbadili katiba. Mpaka sasa hivi CCM ndiyo imeshikilia bunge na serkali. Msimamizi wa mabadiliko ya katiba ni serkali, tena serkali ya CCM. Mabadiliko ya katiba mwishowe hupitishwa na bunge na bunge la katiba. Sasa hiyo katiba wanayong'ang'ania CHADEMA unadhani itakuwa ndiyo katiba mmuitakayo. Rasmi ya Warioba ilikuja recommendation ya katiba nzuri sana (mtazamo wangu), lakini ndani ya hiyo rasmi kulikuwa na mambo ambayo chama tawala haikuyapenda, matokeo yake walijaribu kubadilisha kila kitu. Je, SSH akitaka katiba mpya, hiyo katiba mpya si itapitishwa na walewale? CHADEMA ina hakika gani sasa hivi mambo yatakuwa tofauti wakati wasimamizi na wapitishaji ni walewaleBila katiba mpya...bila tume huru ya uchaguzi...HATUSHIRIKI UCHAFUZI WA 2025...
OVA
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Umeandka nini sasa?Kwani nyie mna jipya basi zaidi ya kushinda uchaguzi tu...corrupted beings!
Kwani wewe umesoma nini?
Upinzani uliokufa viongozi wake wanafuatwa hata wakiwa wanajadili mambo ya msiba wao na mapolisi wenye bunduki???Upinzani gani unaouzungumzia hapa? Vyama vilivyokufa vifufukie kwenye ushindi wa uchaguzi ?! Hiyo ni ndoto ya mchana.
Good for you!!Si useme tu vyama vya upinzani vimesha kufa ,ili moyo wako ufurahi zaidi.Maana kuwa ICU ni kwamba anaweza kupona na kuwa na nguvu zaidi.mavyama ya upinzani yote yako ICU, upinzaniuchwara
Wapinzani mliji compromize kwakujali tumbo...Kama manenge vile na mandawa...Sasa acha mjinyonge kwa kamba zenu wenyewe....Watanzania wamewasoma na kuwaelewa....Mtavitapika mlivyolishwa kwa tamaa za madaraka...I pity you!Good for you!!Si useme tu vyama vya upinzani vimesha kufa ,ili moyo wako ufurahi zaidi.Maana kuwa ICU ni kwamba anaweza kupona na kuwa na nguvu zaidi.
Hakuna mtanzania mwenye akili zake timamu ata bank kwa watu kama hawa ambao they can be ready for anything bila kujali maslahi mapana ya nchi...Bahati mbaya sana the goal post is set by Hayati.....Mungu anaipenda sana hii nchi, maana Baba wa Taifa kizazi cha sasa hakimfahamu sasa tuna a renewed version ya JKN THROUGH JPM; a typical spirit ya baba wa Taifa iliyofufuka kupitia yeye...Kazi ipo na acha iendelee!Ahahahahaahahahaha! Kwa hoja nyepesi kama hizi zenu, be sure CCM is there 2025 and beyond. Ni hadi pale mtakapoacha kufikiri kama watoto wa kambo!
Hakuna mtanzania mwenye akili zake timamu ata bank kwa watu kama hawa ambao they can be ready for anything bila kujali maslahi mapana ya nchi...Bahati mbaya sana the goal post is set by Hayati.....Mungu anaipenda sana hii nchi, maana Baba wa Taifa kizazi cha sasa hakimfahamu sasa tuna a renewed version ya JKN THROUGH JPM; a typical spirit ya baba wa Taifa iliyofufuka kupitia yeye...Kazi ipo na acha iendelee!
Here I am watching from a far mtananange wa wazalendo na wachumia tumbo!
Nipo tayari huko huwa na futa vumbi kaburi lake kama ahsante kwakutuletea standard za uzalendo kwenye karne hii na kizazi hikimfate bc chato,achen uzwazwa mbeleko yenu ni ujinga wa wananchi wasiojua haki zao na unafki wa wale waliosoma bila kuelimika
Nipo tayari huko huwa na futa vumbi kaburi lake kama ahsante kwakutuletea standard za uzalendo kwenye karne hii na kizazi hiki
Mtu si chama au vyama, mmiliki wa chama yupo yaani mwenye chama chake. UjuiUPINZANI NI MTU MMOJA? NADHANI hapo umemaanisha CHADEMA, Kama huna maana hiyo, kwa Nini vyama vingine kama TLP, UDP n.k. unaviondoa? Kuhusu upinzani kuchakaa, WEKENI MIZANI sawa ili ibainike kweli umechakaa. Kama CCM UNABEBWA na TISS na Polisi kupitisha mabegi ya kura bandia, then UTASEMAJE unayeshindana naye amechakaa? Nadhani anayetumia TISS na Polisi ndiye aliyechakaa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mambo hovyoBila tume huru na KATIBA mpya huo uchafuzi atashiriki lbilisi na malaika zake akina Kingai, Mahita, Mitungi, kamanda Zero brain, Mambo hovyo
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app