Duuh!Huyu ndiye amegombea umakamu siyo?View attachment 3180839
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!Huyu ndiye amegombea umakamu siyo?View attachment 3180839
iyo rahisi kihivyo...kwa kosa lipi? kutoa maoni?Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Well said, waezingua sana na wanastahili kuomba msamaha na kuwajibika.Kwahoja hiyo watuombe Radhi sisi Wananchi haraka iwezekanavyo, na sio kumuomba radhi Lissu pekee.
Hebu Imagine tulivyoamka Asubuhi kwenda kumpigia kura Lissu huku tukiogopa "Wasiojulikana" wa Magufuli, Stress na Hofu za kutekwa na kuuwawa.
We demand apology..
Bora Boni yai na Yeriko wanaweza kuomba msamaha na kusamehewa ila Ntobi, avuliwe uanachama mara moja,Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Bado sana, ile katuni ya kipanya ya jamaa anasubiri kuzika haitofikia , wala CHADEMA haifi.Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Kiukweli cdm wakatae kila aina ya uchawa la sivyo kitajifiaWajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Hii kama ni Wenje asitafute mtu wa kufa naye , kutaja watu flani mbele ya lissu kwamba waeisha lamba , wenda ulikua ulaghai wa kitapeli ili lissu aingie mkenge, Wenje kama ndie awake ushahidi usio na shaka mezani ,ili tujue kama kweli alichokipresent kwa lissu kina ukweli, kumtajia mtu list kwamba uyu tiyari , yule tiyari hitoshi, Wenje kama ndie basi ni tapeli wa kisiasaDuuh!
Tusiwe kama CCM sisi tunaami katika Demokrasia na Freedom of Speech maoni ya Wanachama na Wapenda Demokrasia tusiyaone kuwa ni matusi.
Matusi ya nguoni NOMA lakini Spana zipigwe tu.
Anasumbuliwa na unene uliopotiliza shauri ya kupenda kula kupita kiasaHuyu Boni akili ilishahamia tumboni
Ndiyo huwa nawaambia hspa waisiharamu kuwa kumiliki ndevu siyo kuwa na akili ...ndevu ni kama mvi tu ..siyo AKILIYaani akili za huyu jamaa bora Stive Nyerere tu.....huyu ni pro max ChawaView attachment 3180833
Lissu sio makamu wa mwenyekiti alishajivuaWajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Na iwe hivyo 🤣 🤣 🤣 🤣 Watimuliwe!!Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,
Wafuasi hawa Freeman Mbowe wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kukitukana chama na kumtukana , Kumdhalilisha, kumsimanga na kumtweza kabisa utu wake Mhe Tundu Lissu ambae ni makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama mapema mwakani.
Tayari Katibu Mkuu John Mnyika ameshatoa maelekezo yasiyo rasmi kwa Kanda ya Kichama ya CHADEMA ya Serengeti kuwa Bw. Emmanuel Ntobi achukuliwe hatua za kinidhamu haraka na chombo hicho kwani ndicho chombo chenye mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Na Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 makosa wanayoyafanya akina Boniface Jacob na team yake adhabu yake ni kuvuliwa uongozi au kufutwa Uanachama au vyote kwa pamoja.
Kwa upande wa Yericko Nyerere yeye mamlaka yake ya nidhamu iko chini ya Mwenyekiti wake Boniface Jacob ambae nae pia ni mtuhumiwa na Mamlaka ya nidhamu ya Jacob ni Kamati Kuu hivyo huenda kamati kuu ijayo hoja hii itaibuka na Boniface Jacob atapata anachostahili ili kuilinda CHADEMA na WanaChadema.
Uchaguzi huu huenda ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chama hiki kama tu Wafuasi na Wanachama hawatakuwa na hekima na busara za kibinadamu na kiuongozi.
Soma pia Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Kazi inaendelea huko CHADEMAWajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa Mwenyekiti anayemaliza muda wake Bw. Freeman Mbowe,