Teh Teh...Jf hatarikikubwa tu ni maombi yako mkuu. Yani afanye kosa tukutane hachomoi. Mimi sinaga aibu ndio maana Niko Leo Denmark. Nilimpiga saundi mdada flan wa kidenish bongo 2007
bushlend ndugu yangu natoka hivyo maamaeeYa Leo makubwa huku
Kwa sababu hii hii ya kutaka wanaotalikiana au?Hawa mods nao vipi?wapi iyo mkuu. Mods walinipiga bani ya siku kumi mkuu nikawa naingia na ID zingine
sikufichi dada yangu hummer renjii na V8 ni ndoto yangu ya mda mrefu na kila cku ila uwezo wa kuzimiliki sina. Akina vitz kama 3 kwa akiba niliyonayo naweza kuchukua hadi tatu bila kufunga macho.hahahahahaha ushaanza kujiona unaendesha VX
hapana mkuu. Inaonekana Lizabon alnichongea kwa Mods. Maana yeye kazidi mno kumuandama na kumutukana mzee wetu ngoyai. Nikamuondolea uvivu kwa maneno makali na mazitoKwa sababu hii hii ya kutaka wanaotalikiana au?Hawa mods nao vipi?
huo mda wa kucheza pool my learned friend nitautoa wapi. Baas karibuni Sasa ndio Nitaanza kuchezaHahahaha wajinga ndio waliwao..wewe huna tofauti na wanaocheza pool table saa1 asubuhi.
ha ha ha uliingia kwenye anga zao!pole...uko bongo?next week napita hapo kwenu nikienda sitimbi!wapi iyo mkuu. Mods walinipiga bani ya siku kumi mkuu nikawa naingia na ID zingine
siyo fiks mkuu. Halafu werevu itakuwa rahis sana kunijua kama nitakuwa milioneaKumbe inwezekana unapiga fix?
Kwa hiyo umekubali kuolewa na huyo mama?
siyo fiks mkuu. Hatujakuna bado. Kinachonipa matumaini mbona ghafla kaamua kunijibu baada ya miez yote iyo lazima there something. Kama asingekuwa interested asingeniandikia iyo ndio inanipa hopes. Halafu werevu itakuwa rahis sana kunijua kama nitakuwa milionea
Pole.Ila kama ni lizaboni ilikuwa ni haki yake.Ila kila la kheri kwenye mpango wako usisahau kuja kuwekeza nyumbani tupate ajira.hapana mkuu. Inaonekana Lizabon alnichongea kwa Mods. Maana yeye kazidi mno kumuandama na kumutukana mzee wetu ngoyai. Nikamuondolea uvivu kwa maneno makali na mazito
Unauhakika utaipata au ndo unajipa moyo?!Mkuu Yani ni njooz ya ushindi. Yani nikipata hata pauni million moja naiweka kwenye fixed deposit account baada ya mwaka napata faida ya pauni zaid ya laki moja na nusu.