Huenda wakati wowote nikawa milionea

Unauhakika utaipata au ndo unajipa moyo?!
ninamatumani kwasabab gani kwa nini anijibu baada ya iyo miez yote? She's interested. Ila akikubali tukutane nakuhakishia mimi millionaire
 
Maisha magumu sana,box nalo limekuchosha.
Rudi bongo ulime mchicha.
maisha siyo magumu ila sometimes boks linachosha ukibeba mda mref. Niko kwenye gemu toka 2009
 
Haina tofauti na ndoto ya Alinacha aliyejikuta anapasua kioo alichotarajia kukiuza kwa fedha nyingi awe tajiri!
mkuu bahati kamwe haiji kwa kukaa tu ikushukie kama mana. Lazima ugharamike na uitafute
 
hahaaaaaa,

umesahau mwenye bahati habahatishi! Ila kila la kheri
 
Kaka ukishampata we niambie nikutumie iyo kitu inaitwa mundende yaani wima masaa 3 ndo unapoa bibi kizee wa kizungu lazima atakupa utajiri tuu
 
Hii mbinu ya kunakili majina kutoka DM online na kuwasech FB lindkeln na Google nimeshafanya kwa wengi mno wengine hadi criminal convict. Na sio wote wapo mtandaoni ni baadhi tu. Na wale niliwaandikia wengi wao hawajanijib. Ila kuna wawili nimeshaonana nao. Ila ya huyu ni breakthrough am sure
 
Uko bize unaota mchana
 
licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu
Hilo ni pepo la utajiri kama lililomjaribu yesu. Unahitaji maombi mkuu, maana mali na fedha hutakufa navyo.,kumbuka kuna kiama mkuu
 

Punguza mzuka mtu wangu....uko moto sana
 
Siku za sasa wavulana mmekua na mihemko ya mijimama kisa.... mnataka mteremko, hapa namaanisha mnapenda kulelewa.
Agghhhh......
Au...Basi tumesha faham kwamba upo Denmark.
 
na ukizipata jiandae kuitwa jipu.
 
Kaka ukishampata we niambie nikutumie iyo kitu inaitwa mundende yaani wima masaa 3 ndo unapoa bibi kizee wa kizungu lazima atakupa utajiri tuu
Mmmmmh Donald Trump hakukosea kuhusu watu weusi..ni sex exparts duuh.
 
mbona mimi nafanya kazi kwa bidii masaa 14 hadi 15 kwa siku na tena physical jobs. Great thinker umekosea
Duh pole mkuu... Nimekaa ulaya na USA nayajua hayo maisha!! Mungu akusaidie upate zali aisee!![emoji4] [emoji4]
 
Hahah mkuu umenikumbusha Mzee Mkapa enzi zake akitumia kalamu kujiweka ktk rangi tofauti na majina tofauti!!! Daah waafrika ni shida!! Hao kina Ruttashobolwa usihangaike nao ni machoko wa tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…