Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Tetesi zinasemaje mkuuAisee nimezisikia hizi tetesi, MUNGU saidia vinginevyo hali itakuwa mbaya sana
Mkuu NIDA wameharibu mipango yote coz taarifa za kila raia ziko centralized hivyo kazi imekuwa rahisi sana kwa HESLBTetesi zinasemaje mkuu
unaelewa maana ya tetesi kwanza?..wewe ni msemaji wa HELSB?
Nimekupata " unamaanisha wale wa kuanzia mwaka 1994 kurudi nyuma au? Kama ni hao Chombo kinachoitwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu " heslb" hakikuwepo.Nashauri tukatwe mishahara yetu kuwafidia wale waliotumia pesa za HESLB kusomeshwaa..
Wewe ndo msemaji wa bodi ya mikopo?Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa
Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe
Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni
Kwamba?Aisee nimezisikia hizi tetesi, MUNGU saidia vinginevyo hali itakuwa mbaya sana
mimi naona umetumia command language kama upo kwenye mamlaka hayo ya usemajiMsemajin unaelewa maana ya tetesi kwanza?..