Huenda wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu waliokaa na madeni kwa muda mrefu kupatiwa mwarobaini wake

Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa

Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe

Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni
Kwani we nani? Silipi hadi nione mafisadi wote walioenda kuficha pesa Swirtzerland na Marekani wakizirudisha, kuanzia Chengge, Lowassa, Makonda na wengine wote walioficha mapesa nje wayarudishe
 
Hakuna mtu hunifurahisha kama wewe
 
Dawa ya deni ni kulipa tu-kwani kuna leo na kesho.
 
Waacheni wapumue kwani mliombwa muwakopeshe[emoji23][emoji23]
Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa

Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe

Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni
 
Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa

Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe

Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni
Mlituambia tusomee ualimu ili mtuajiri, mwisho wa siku mmetutelekeza halafu mnategemea tulipe hela ya mkopo kwa kupitia vijihela vya tuition.
Nasema hiviii mtasubiri sana.
 
Kama wewe ulisoma kwa pesa ya HESLB naomba uje utafute ule mkataba usome na uelewe kuwa unasitahili ipigwe faini au la!

Ila jitahidi tulipe deni ili na wadogo zetu wasomee
 
Mwarobaini ni kuzalisha ajira za ukweli na sio zile million 6 za kwenye majukwaa ya siasa.
Database ya mifuko ya hifadhi ya jamii inaonyesha wanaolipa kwenye mifuko hiyo hawazidi 2.2M. Maana yake ni kua kama kungekua na ajira milioni 6 badi tuseme hata robo yake ni skilled job basi hapo tungekua na wachangiaji wa mifuko karibu 4M, mambo ambalo sio kweli.

Siku ambayo wananchi wataanza kuhoji usahihi wa taarifa za majukwani hapo ndio tutaanza kuona maendeleo. Ila hizi za mtu kujitamkia tu unaweza kusema hata watanzania wote ni waajiriwa na hakuna wa kuhoji.
 
Nashauri tukatwe mishahara yetu kuwafidia wale waliotumia pesa za HESLB kusomeshwaa..
wakatwe wabunge katika posho na mishahara yao kama wanaona ngumu bas iwe kama huna digrii usigombee ubunge ili wapate namna ya kuipata hela yao.
 
Tunarahisisha sana kama kwamba haliwezekani?
Mbona kuna bodaboda walishasaini mkataba na wanalipa kama kawaida.
Inawezekana ila suala la msingi ni Serikali kweka mazingira mazuri ya kuzalisha ajira mpya na Wananchi wake kubuni ajira nyingi zaidi.

Kumbe pointi unazo ila unaanzaga na pumba kwanza.imenibidi nile mtori wote na nyama nimezikuta chini.

wapatie ajira hao graduate ili wakatwe madeni yao.hizo zingine ni story za hovyo kabisa
 
wakatwe wabunge katika posho na mishahara yao kama wanaona ngumu bas iwe kama huna digrii usigombee ubunge ili wapate namna ya kuipata hela yao.
Kumkumbuka hizi sheria kandamizi wanazipitisha hao hao.
 
Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa

Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa waliokaa na madeni ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa muda mrefu na wao kuonja joto ya jiwe

Mytake
Kama unaona unaweza kulipa deni lako kwa kupeleka hela yote taslimu itakuwa ni njia bora zaidi. Ila IPO njia nyingine ya kuliuza deni kwa kutumia Benki zinazonunua madeni
Pumbavu
 
Back
Top Bottom