wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mkuu NIDA wameharibu mipango yote coz taarifa za kila raia ziko centralized hivyo kazi imekuwa rahisi sana kwa HESLB
Hio NIDA itafanya maajabu gani wkt watu wako kitaa miaka ya kutosha na ajira hawana.