wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Jul 2, 2020 #41 Ibanda1 said: Mkuu NIDA wameharibu mipango yote coz taarifa za kila raia ziko centralized hivyo kazi imekuwa rahisi sana kwa HESLB Click to expand... Hio NIDA itafanya maajabu gani wkt watu wako kitaa miaka ya kutosha na ajira hawana.
Ibanda1 said: Mkuu NIDA wameharibu mipango yote coz taarifa za kila raia ziko centralized hivyo kazi imekuwa rahisi sana kwa HESLB Click to expand... Hio NIDA itafanya maajabu gani wkt watu wako kitaa miaka ya kutosha na ajira hawana.
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,361 Reaction score 21,680 Jul 2, 2020 #42 Sikuhizi hadi vyeti vinaonesha kama ulikuwa na mkopo heslb au laaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuhizi hadi vyeti vinaonesha kama ulikuwa na mkopo heslb au laaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Victor Mlaki JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 4,151 Reaction score 4,277 Jul 2, 2020 Thread starter #43 Saint Ivuga said: Pumbavu Click to expand... Sawa