Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Screenshot_20260924-094626_Google.jpg

On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala

Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa Tanzania akipigwa live ulingoni na raia wa nchi nyingine, lakini mwisho wa siku majaji wa vitasa wakatoa hukumu kwamba bondia wetu kashinda

Angali watazamaji wenyewe tumejionea mtanange kwamba tumepoteza pambano

Sasa hii scenario ndio naiona kwenye hii kesi ya Lissu,kwamba watanzania hakuna kesi ambayo tumeifuatilia kama hii, tumefuatilia ushahidi na maeleezo ya mshitakiwa

Tumefuatilia cross examination na kupata elimu nyingi ndani yake

Na kwa asilimia kubwa ya Watanzania tumeona ukweli uko wapi?

Tumeona uongo uko wapi?

Tumeona mwelekeo wa kesi uko wapi?

Wasi wasi wangu wasije majaji wakatoa matokeo kama kwenye Vitasa

Muda utaongea!!!

Ni hayo tu!
 
View attachment 3676833

Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu... Ertugrul Bey
 
Attachments

  • downloadfile-11.jpg
    downloadfile-11.jpg
    141.5 KB · Views: 9
View attachment 3676833

On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala

Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa Tanzania akipigwa live ulingoni na raia wa nchi nyingine, lakini mwisho wa siku majaji wa vitasa wakatoa hukumu kwamba bondia wetu kashinda

Angali watazamaji wenyewe tumejionea mtanange kwamba tumepoteza pambano

Sasa hii scenario ndio naiona kwenye hii kesi ya Lissu,kwamba watanzania hakuna kesi ambayo tumeifuatilia kama hii, tumefuatilia ushahidi na maeleezo ya mshitakiwa

Tumefuatilia cross examination na kupata elimu nyingi ndani yake

Na kwa asilimia kubwa ya Watanzania tumeona ukweli uko wapi?

Tumeona uongo uko wapi?

Tumeona mwelekeo wa kesi uko wapi?

Wasi wasi wangu wasije majaji wakatoa matokeo kama kwenye Vitasa

Muda utaongea!!!

Ni hayo tu!
😃😃😃😃😃😃😃 Daaah umenikumbusha kuna Ndondi nliangalia Azam Tv, kwakweli nkasema TZ tunasafari ndefu.
 
Kweli kabisa,yale matakeo yalitushangaza sana,nahisi hata majaji wenyewe walijishangaa
 
mpaka sasa pambano limewashinda watu wa jamhuri, wanachotafuta ni namna ya kuchomoka hata kwa goli la mkono.
 
Back
Top Bottom