Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

Mods mnaona huyu mjinga anavyotunga maneno ambayo Hersi hakuyasema, naomba alete ushahidi wa sauti akishindwa apigwe ban kama adhabu ya kudanganya jukwaa, me binafsi adhabu yangu ataipata huko pm kwake ananijua vizuri
Simon Msuva anamtishia Lionel Messi. Hopeless....!!
 
Alisema hayo kwa hasira za kufukuzwa kazi na hakuwa na wadhifa wowote Yanga, lakini rage akiwa mwenyekiti wa simba alisema wanasimba wote ni Mbumbumbu, ni kama leo mangungu aseme hivyo.
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
hasira za kufukuzwa kazi, ni kawaida kwa mtu kumtukana bosi baada ya kufukuzwa kazi. Rage alisema wanasimba wate ni mbumbumbu akiwa mwenyekiti wa simba, ni watu aliokuwa anawaongoza hawezi kuwasingizia.
 
Wewe nae ni kondoo tu. Kazi kutoa vibanzi kwa wenzako wakati na wewe JICHO lako lina kijiti

Ujuaji mwingi mbele kiza
 
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
 
"Wana Yanga SC wote ni Mbwa, Nyani na Sokwe", aliyekuwa Kocha wenu Mbelgiji Luc Eymael na ipo YouTube kaitizame.
waafrika wote sokwe, Nyani wanarushiwa ndizi na wazungu kaangalie youtube video zipo, lakini "wanasimba wote ni Mbumbumbu" Aden Rage mwanachama wa simba na aliyekuwa mwenyekiti wa simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…